Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Rafiki FP I don't want to miss anything either. Hivyo endelea tu na "maandalizi" ya pick up lines. Inabidi nikuone na nikusikie ukishusha mistari yako ya nguvu inaweza kuwa burudani ya aina yake 🙂🙂. Nitajihidi sana nisikucheke rafiki.

ha haaa, for sure I cant miss this for anything.........
ngoja niandae kiwalo changu, lol!
na kupanga mistari kabisaaaaaaa!
au sina haja tena ya kupanga mistari rafiki?
nahisi kama kazi imeshaisha kabla sijaianza....
 
Last edited by a moderator:
asilimia kubwa ya sie watongozaji ni ili tubanjuane, hayo mengine kama vile wa kuzugia mfano ma GAY naona ni wachache sana. mambo ya kuoana n.k huja baadae. hata mwanamke akinitongoza leo najua anataka kupigwa mashine tuu!
 
Malimbuko ni kile kitu chako cha kwanza ambacho unakifanya iwe ni biashara sasa ile faida ya kwanza unayopata, unatoa sadaka, au kama uko kazini ule mshahara wako wa kwanza kuupata kama umeanza kazi mpya basi unatoa sadaka, au iwe mifugo yule mnyama wa kwanza kumfuga na akazaa wengine yule wa kwanza unamtoa sadaka, hata wanaisrael walipokuwa utumwani walimtolea malimbuko Mungu wao hivyo nawe una budi kutoa hiyo sadaka, nadhani mpaka hapo umenielewa vyema, je una jingine?
Eeeeeh!! hapa nisaidie tu aisee,,,mimi mwenyewe free lancer Dili zangu nyingi za kimagumashi magumashi sema maisha yanasonga,Mjengo mzuri,Gari nzuri,Na watoto/wadogo zangu wanaenda shule.Nisaidie,@ ladyfurahia
 
Ukinipa mtoto nitakusaidia
Eeeeeh!! hapa nisaidie tu aisee,,,mimi mwenyewe free lancer Dili zangu nyingi za kimagumashi magumashi sema maisha yanasonga,Mjengo mzuri,Gari nzuri,Na watoto/wadogo zangu wanaenda shule.Nisaidie,@ ladyfurahia
 
Rafiki FP I don't want to miss anything either. Hivyo endelea tu na "maandalizi" ya pick up lines. Inabidi nikuone na nikusikie ukishusha mistari yako ya nguvu inaweza kuwa burudani ya aina yake 🙂🙂. Nitajihidi sana nisikucheke rafiki.

ha haaa, naona practical imepamba moto......
naanza kuwa mtaalamu wa mistari ujue....
by the time hiyo siku inafika nshakuwa mtaalamu niliyebobea.....
ngoja nianze kutoka hivi
 
Last edited by a moderator:
sijamaanisha hivyo naona umenielewa vibaya sana, ila wewe hupendi tuzae? au m..e..n..t..o..r unamuogopa?
Unamaanisha tuzae/ubebe ujauzito wangu?Unajua sometimes kiswahili nacho ...Anyways kwa nn unataka tuzae?
 
sijamaanisha hivyo naona umenielewa vibaya sana, ila wewe hupendi tuzae? au m..e..n..t..o..r unamuogopa?
Sio tu napenda tuzae hata my wife naweza kutengana nae(yesu kristo sijui na yeye ni member humu huchelewi kukuta hata ni wewe)Maana kuna siku nikasahau ku-logout kaliposhika simu kakanirudishia huku kanatabasamu...Lol..Mentor ndio nani bwana! kwanza sijui yupo wapi usikute mwenzetu kalazwa au karudishwa kule dodoma
 
ni mume wangu siwezi fanya hivyo kwani nitakosa uaminifu bure kwa laazizi wangu,
Sio tu napenda tuzae hata my wife naweza kutengana nae(yesu kristo sijui na yeye ni member humu huchelewi kukuta hata ni wewe)Maana kuna siku nikasahau ku-logout kaliposhika simu kakanirudishia huku kanatabasamu...Lol..Mentor ndio nani bwana! kwanza sijui yupo wapi usikute mwenzetu kalazwa au karudishwa kule dodoma
 
hiyo avatar yako nimeipenda sana naomba nifundishe namna ya kuweka hivyo kwenye avatar yangu best nikumPM au?
Unamaanisha tuzae/ubebe ujauzito wangu?Unajua sometimes kiswahili nacho ...Anyways kwa nn unataka tuzae?
 
++

Ajabu moja ni kuwa hata insticts mlizojaliwa,zikuambie aliyepo mbele yako ni muongo
unazipuuzia You rely on flow of words and sound.
Hivyo grafu ya wanawake kuchezewa itazidi kupanda

++

mnachezeana coz wote mnakuwa hamjavaa nguo,pia saa nyingine msichana naye ana sababu zake za kuwa na wewe mfano company tu malengo na wewe hana.
 
AshaDii,

Nilidhani hili somo limedhamiria kufanya swala zima la "kula mzigo" lisiwe rahisi. Lakini kumbe kuna hiyo win-win situation. Hapo naona watu wataendelea kula mzigo kama kawa kwa sababu kumbe mabinti wenyewe wakati mwingine wanakuwa na "malengo" yao...

Hii saikolojia ya "kula mzigo" inafurahisha sana.

Lakini mimi siku hizi sili mizigo. NIMETULIA...

Mkuu umenimaliza.... Hahahahahahaha!
Hahahahahahahahaha!!
 
AshaDii, hakika waliokuleta duniani hawakukosea. Heri ya baba na mama yako walioweza kukuzaa na kukutunza mpaka sasa unatoa elimu yako kwa wengine. Ulichokiandika hapo juu hakika 98% is naked truth and it is happening somewhere around even at this particular moment. Ubarikiwe sana.
Arushaone likes this.
 
Back
Top Bottom