Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

ha haaa....... nakuelewa, lakini pia nabaki na maswali kibao kwa kichwa
kwani PM ni kwa ajili ya kutongozana tu?
yaani mimi na utu uzima huu nakuwa siwezi kusema NO mpaka ni-block PM?
na kwanza mtu akiku-pm kama ni upuuzi ni lazima ujibu?
unajua unaweza kosa ujumbe wa maana hivi hivi sababu unaogopa kutongozwa

Mi kusema ukweli ni moga sana wa kutongozwa hasahasa na wanawake wanojiheshimu kwa sababu kunakuwa na karaha fulani hivi ambacho kinakufanya upende kuendelea kwenye hali hiyo. Sasa mwishowe unajikuta ohoooo mambo yameshakuwa sio mambo.
 
Na anafanya jitihada gani za kukupata we Mwajuma? Maana wajanja hawatangazagi azma zao hadharani hivyo hususan katika jambo la hiari kama hilo.

Na ni utovu wa ukomavu wa akili kuwekeana dau na mtu eti ni lazima umpate. Mambo ya shule ya msingi hayo.

Sasa ukiona jitu zima na nywele zake kwapani linaapia hivyo ujue bado liko immature hilo.
ha haaa, wewe NN unafikiri huku wote wana ndevu kama wewe?
upo busy nyuma ya keyboard unachat na snowhite ukidhani ni mtu mzima mwenzio kumbe ni under 15, lol!
sasa kwa nini asiwekeane dau na Kaunga (under 13 mwenzie) kuwa lazima wakunase?
 
Last edited by a moderator:
Mi kusema ukweli ni moga sana wa kutongozwa hasahasa na wanawake wanojiheshimu kwa sababu kunakuwa na karaha fulani hivi ambacho kinakufanya upende kuendelea kwenye hali hiyo. Sasa mwishowe unajikuta ohoooo mambo yameshakuwa sio mambo.
ha haaaa, ina maana mwenzetu neno NO halipo kwa vocabulary yako?
inabidi uliongeze
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sure sister, mie nina mmoja mwaka wa 6 na tumewekeana mpaka dau, anadai lazma anipate na mie nimemwambia hapati kitu tena anadai yeye hana historia ya kukataliwa na msichana yoyote..yaani hizi mambo hizi acha kabisa

siri ikishapitwa na wakati haina madhara, umenikumbusha enzi za ujana kuna dada mmoja nilimlia denge miaka 3 kila tukikutana naimbisha, huku mwenye mali yupo siku moja akaniambia kweli unanipenda umenifwatilia mda wote huo akaamua kunipa lahaula la kwata kumbe hakujua kama nimemtan ikala kwake mazima.
 
ha haaa, wewe NN unafikiri huku wote wana ndevu kama wewe?
upo busy nyuma ya keyboard unachat na snowhite ukidhani ni mtu mzima mwenzio kumbe ni under 15, lol!
sasa kwa nini asiwekeane dau na Kaunga (under 13 mwenzie) kuwa lazima wakunase?

Mimi na washikaji zangu wa shule ya msingi wakati bado tuko shule ya msingi ndo tulikuwaga tunapinga msichana gani tutampata na kadhalika.

Sasa sikujua hayo mambo bado yanaendelea hata kwa waliobalehe na kuvunja uongo.

Very childish, in my opinion.
 
siri ikishapitwa na wakati haina madhara, umenikumbusha enzi za ujana kuna dada mmoja nilimlia denge miaka 3 kila tukikutana naimbisha, huku mwenye mali yupo siku moja akaniambia kweli unanipenda umenifwatilia mda wote huo akaamua kunipa lahaula la kwata kumbe hakujua kama nimemtan ikala kwake mazima.

umenipa jeraha la moyo.
 
Mimi na washikaji zangu wa shule ya msingi wakati bado tuko shule ya msingi ndo tulikuwaga tunapinga msichana gani tutampata na kadhalika.

Sasa sikujua hayo mambo bado yanaendelea hata kwa waliobalehe na kuvunja uongo.

Very childish, in my opinion.

eee bana eee kweli we mkali.

Hii mavitu tangu shule ya msingi mlikuwa mnapiga!!! si mchezo.
 
Mimi na washikaji zangu wa shule ya msingi wakati bado tuko shule ya msingi ndo tulikuwaga tunapinga msichana gani tutampata na kadhalika.

Sasa sikujua hayo mambo bado yanaendelea hata kwa waliobalehe na kuvunja uongo.

Very childish, in my opinion.
kiukweli ni childish, tena utoto uliopindukia,
ila ndo hivyo tena, wapo, hatuna pa kuwapeleka, tutaendelea kuwa nao tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa je...

Kwani wewe ulianza kufukuzia totoz ukiwa sekondari?

Hapana. Mimi mpaka nilipomaliza chuo.

Tulifundishwa kuwa kufanya matusi sio vizuri. Nilipomaliza chuo nikaona wezangu wote wanaendeleza na hakuna adhabu so na mimi nikaanza.
 
salama binamu?
endelea kuyaweza hayo majaribu binamu

salama binam, nafurahi kukuona u mzima wa afya, kutafuta shilingi kumenifanya niadimike binamu

haya maribu ya kizazi hiki... hiwe acha tu binamu dunia ya sasa kizungumkuti aliyozungumza dada yangu AshaDii hapo juu nimekosa cha kuongezea... ni panga kwa mfupa
 
Wee mdada huwa unafikiria sana kwakweli, sipati picha kama una mme/Boy friend anapata taabu kiasi gani kuku handle maana katika ndoa 'wakati mwingine' uongo huimarisha ndoa.

Hii mada yako imenigusa binafsi, nilishawahi kujikuta namtongoza na naingia kwenye mahusiano kimapenzi na dada mmoja alikuwa ni Assessor wa kodi mpakani mkoa fulani nilikokuwa na kibiashara changu fulani kilichokuwa kinahitaji sana kipunguziwe mzigo wa kodi wa bidhaa zake toka nchi jirani ili kiweze kusonga mbele, huyu dada nimedumu naye for 2 years japo yeye kama yeye alikuwa hanivutii kwa lolote zaidi ya hilo la kuniwekea mazingira mazuri ya kulipa kodi, ila alikuwa ana mategemeo kwamba nitamuoa, kimbembe ni pale alipohamishiwa mkoa mwingine ilichukua mda mfupi sana kuachana.

Wanaume wenye tabia kama zako ni wengi ang i hate this kind of habit tena mwingine bila aibu anatangaza kabisa kwa wenzake unajua pale napata hiki kifupi we ulikuwa unatoa rushwa ya ngono hata kama we ni mwanaume hata ukiipa majina mengine na sijui utato maisha yako yote ili upate favour?
 
Back
Top Bottom