JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
saka noti binamu, ndo kinachotufanya tuishi, lol!
kweli binamu haina jinsi.
hebu niambie binam kuna wadada wanakubali kuwa wakuzugia? au kata kiu?
saka noti binamu, ndo kinachotufanya tuishi, lol!
sidhani kama kuna wanaokubali....kweli binamu haina jinsi.
hebu niambie binam kuna wadada wanakubali kuwa wakuzugia? au kata kiu?
yap, sure. kuna mtu alidhan anapita, baadae dem si akamtegeshea mimba! akaipeleka kwa wazazi wake jamaa, wakamwambia muoe hakuna jinsi. mpaka saiv ndo mkewe.Demu wa kuzugia kule "mtoni" au "kiwanja" kwa kina Nyani Ngabu wanaita "no strings attached".
Ila beware, kuna watu wengi tu wameishia kuoza kwa demu wa kuzugia. Kuna asali ukiionja unaweza kujenga mzinga kwa kunogewa...
sorry, I am only attracted to smart guysWewe Mwali unaonekana ni bingwa wa kutongoza!,naomba unitongoze na mimi!
leo ni birthday yangu sitaki kumkwaza mtu...nina mengi ya kueleza hapa...ngoja niwatizame tu kwa leo
sorry, I am only attracted to smart guys
cc: ZeMarcopolo
coz I'm a happy person and I am contagious.I dont why I am amused every time I read from you!!!
coz I'm a happy person and I am contagious.
Sasa huyo kaona tu nakumention eti anataka nimtongoze
what a request!
nimesoma........ "smart guy"FP umesoma post za Mwali?
nimesoma........ "smart guy"
ha haaa, yaani ndo nimeiona hiyo tu, lol!Hahahahahahahahhahahahahaha
Kuna watu mna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
best kumbe kweli ni bday yako?ahahaaa sioni umeulizaje dear,,,asante love
ahahaaa true...napiga keki hapa...ngoja niweke thread huku nina marafiki sana ujuebest kumbe kweli ni bday yako?
mi nilidhani ni ile njia yetu ya kujikusanyia zawadi, lol!
![]()
ni kweli, tupo wa kumwagaahahaaa true...napiga keki hapa...ngoja niweke thread huku nina marafiki sana ujue
nipo hoi kwa kweli hata kuandika siwezi bwana..next time nitawaambia..nalala zangu tu hapani kweli, tupo wa kumwaga
ha haaa, hiyo inatokeaga mara kibao sana.....
unajua haya mambo ya love at first site yapo kwa wachache sana.....
wengi wetu tunawapenda watu kwa kadiri tunavyoendelea kuishi nao.
kuna mwingine unapoonana naye yaani unaona wa kawaida kabisa, hata hakuvutii, lakini kadiri mnavyoendelea kuwa pamoja unagundua kuna vitu anavyo ambavyo vinakuvutia sana, tena hivyo ndo vyaweza kuwa vingi zaidi ya umbile external features zake.
ndo maana utajikuta hata ukiwa mbali naye unajikuta tu unataka kuongea naye na vitu kama hivyo.....yaani unajikuta tu hujiwezi bila yeye
demu wa kuzugiamie nna swali
nimewahi sana kusikia kina dada wakishauri watu humu
kwa kuwaambia 'tafuta hata demu wa kuzugia'
na mimi binafsi nimewahi ulizwa na mwanamke/wanawake..
swali hili 'unanipenda kweli au mie wa kuzugia'?
sasa najiuliza mno exactly 'demu wa kuzugia ' yukoje?
na unaweza mwambia msichana 'yes wewe ni wa kuzugia?
hii kitu 'demu wa kuzugia' imetoka wapi?
asili yake wapi?