Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

Mhhhh!!!! Chezeya kupenda na kupendwa weye rafiki!!! watu wengine kila jicho hutoa chozi debe!! hahahahah lol!!! 🙂🙂 Kazi haziendi!!! unaona rangi zote za hapa duniani!!!



Stepping out rafiki...Good day 🙂🙂

ha haaa, hili ni dongo rafiki?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna sisi ambao tunatungoza ili kupima kama skills zetu za kutongoza zimekuwa butu au bado zina sumu. Maana vijana siku hizi wamekuja na skills mpya za kutumia senti wenyewe wanaita kisu.
 
napita.... but mi natongoza for fun, nweza mtongoza msichana akakubali afu then nikampotezea, nakuwa kama napoteza interest nae akikubali
 
Dealer... I am so humbled kwa acknowledgement zako. Na naona ni muhimu niongezee kuwa yawezekana wewe si mdau wa mara kwa mara hapa kwani huwa kunakuwa na mada ambazo zinamichango makini kama ilivyokuwa kwa hii na mifano ni mingi. Sasa nikiona hizo mada nitakuwa naku Tag..🙂


Nashukuru kwa mchango wako... Nakubali kweli kuna guys wanatongoza for the sake of kutongoza ikiwa kama namna moja wapo ya kuthibitisha his manhood.

Yeah! pamoja sana! plz usisahau ahadi yako ya kunipa tag pale penye uzi hot na michango ya busara!

hata hivyo naitwa 'thedealer' na sio 'dealer'

nipo viungani napiga deals!

ahsante sana!
 
hahaa UNDENIABLE naomba usiwe miongoni mwa hao vijana,
kwamba umewekeana dau na Himidini unipate......
tell me ur not the one

Yes, am telling you, ur not the one! ur just my special luck! cant imagine how heaven on earth! kwa raha zangu mwenyewe! this counts so luck to me!

nakala kwa: Himidini
 
Last edited by a moderator:
Jamani imekuwa kamtindo wanawake kunitongoza kwa ishara na wengine huwa wananiambia kabisa,wengine wanawatuma rafiki zao! Sasa huwa najiuliza mi nina nini?by the way, Maisha yangu ni duni sana... Sijawahi kumkubalia hata mmoja kwa kuhofia hali yangu ya maisha duni. Naombeni ushauri wakubwa
 
wewe utakuwa umepungukiwa na kitu toka katika mfumo wa fahamu nani amekwambia kuwa mtu akiwa duni hatakiwi kupendwa Mungu alimuumba mtu hapa duniani aishi na kupendwa pia ndo maana akaweka ndoa ilikuwa na msingi wake hivyo jiachunguze ktk ufahamu wako nini kimekupata mpaka ujione kuwa ni duni hakuna mtu aliyeduni hapa duniani chakarika tafuta na thubutu utafanikiwa
Jamani imekuwa kamtindo wanawake kunitongoza kwa ishara na wengine huwa wananiambia kabisa,wengine wanawatuma rafiki zao! Sasa huwa najiuliza mi nina nini?by the way, Maisha yangu ni duni sana... Sijawahi kumkubalia hata mmoja kwa kuhofia hali yangu ya maisha duni. Naombeni ushauri wakubwa
 
Back
Top Bottom