AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #281
habari yako dada AshaDii, nami niongezee sababu nyingine:
1: Kijamii: umempeleka nyumbani mtu unayempenda lakini familia yako na ndugu zako (hasa wazazi/mawifi) hawamkubali huo mpenzi wako kwa vile haja-meet criterias 1,2,3 ... hivyo basi itakulazimu (kama akili zako ni za kushikiwa) kuanza kutafuta mtu aliye na vigezo 1,2,3 ... ingawa hii hautoli-admit in the first place kuogopa kuonekana wewe ni wapi ... but utalitekeleza involuntarily as time goes!
2: Stress/Psychological torture - Mwanaume anapokuwa na manyanyaso sana toka kwa mwenza wake/mke, mara nyingi huwa na msongo mkubwa sana wa kimawazo, na hii hupelekea kupoteza furaha na hamasa ya kimapenzi kwa mwenziwe, na matokeo yake hupelekea 1. kutafuta pango la kupunguzia stress zake (kuliwazwa) na au 2. kuwa mlevi na hivyo kuwa prone kupata mtu wa kupunguza stress naye .... ("nani kamwaga pombe yangu style ..." kwenye bars/pubs!)
pia swahiba, kwa mtazamo wangu, sababu hizo hapo chini ni more or less the same.
Mie mzima kabisa Pal... I believe you are too and am surely happy to see you. Nakubaliana na hii post... Asante kwa mchango wako. Pamoja Saana.