Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,336
- 10,670
ulichoongea ni kwela ila .......hii sekta ngumu sana.....kuna wengine hawakati tamaa anataka ahakikishe mpaka anakupata na yuko tayari hata atumie miaka miwili ili mradi tu amekupata na ataki aonekanea ameshindwa........na kitendo cha kumkuubalia tu utashangaa anakutema hapohapo........au atakufanya wa kuzugia mana umemsumbua sana naye anataka kukukomesha......kwa hiyo haya mambo hayatabiriki sometimes.
sure sister, mie nina mmoja mwaka wa 6 na tumewekeana mpaka dau, anadai lazma anipate na mie nimemwambia hapati kitu tena anadai yeye hana historia ya kukataliwa na msichana yoyote..yaani hizi mambo hizi acha kabisa