Ptolemy vya mtandaoni mara nyingi hishia group moja ya matamanio... Mara nyingi mawasiliano haya hujengwa na fantasies na kutoa picha ile ambayo wewe ungependa iwe.
Mfano mwanamke mmoja huyo huyo mtandaoni anaweza pendwa na wanaum watano, woote kigozo kikuu ikiwa kumtamani alafu hapo hapo wote hao kila mmoja akawa kajenga picha na taswira yake ya huyo mwanamke alivyo. Ndio maana unakuta kuna watu wanakutana mitandaoni... Once akimuona physically steam yote inaisha... Sio necessarily hivyo; wengne imagination huwa sawa na hamu kuisha.
Tukitolea mfano hata hapa hapa Jf, kuna kaka alishawahi kukiri kuwa yeye akitongoza manamke hapa Jf na akabahatika kuoanana nae ni lazima hua analala nae na akisha lala nae mara moja basi kamaliza. Ni kweli ama si kweli... Only he knows.