Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mie nna swali
nimewahi sana kusikia kina dada wakishauri watu humu
kwa kuwaambia 'tafuta hata demu wa kuzugia'
na mimi binafsi nimewahi ulizwa na mwanamke/wanawake..
swali hili 'unanipenda kweli au mie wa kuzugia'?
sasa najiuliza mno exactly 'demu wa kuzugia ' yukoje?
na unaweza mwambia msichana 'yes wewe ni wa kuzugia?
hii kitu 'demu wa kuzugia' imetoka wapi?
asili yake wapi?
Kwa uelewa wangu... Wakuzungia haipo kwa mwanamke tu, ipo na wanaume pia.
1. Hakunaga promises. Mahusiano ni living the moment.
2. Kwa jina la kiingereza maarufu kama (Booty call). Mara nyingi anakuwa wa kukidhi hamu yako ya sex.
3. Mpo wote on and off, ni aina ya mtu ambae wamfikiria inapotokea wapenzi wako wote hawapo available.
4. Ama unaweza kua nae kila mara but yupo kwa ajili ya kujaza nafasi kwa muda hadi pale the type wapenda apatikane.
5. Mara nyingi wa kuzugia (awe mwaname/mume) huwaga wapole, hawapo demanding, wapo understanding na yawezekana akatambua kabisa kuwa huwezi invest katika hayo mahusiano.
However I should add, kuna watu waliwapata watu wao kwa malengo ya kuzungia na kujikuta huyo mtu ikageuka ndio mpenzi mwenyewe wa kudumu.
Last edited by a moderator: