Aina kuu tano za ukahaba

Aina kuu tano za ukahaba

Naruhusiwa na nani?

Nani kakwambia natafuta ruhusa?
Kama hutafuti ruhusa hakukuwa na maana Ya kuuliza swali kwa kuwa majibu unayo.. Kuja kuulizwa swali linalohusu upande usiotajwa ni kumfundisha kazi mtoa mada.. Yeye ameongelea wanawake kama na wewe unajua la upande wa pili kwa wanaume liongee.
 
Unakataa kula chakula ulichopika mwenyewe???
Mama yako alimzidi Mzee wako mali?
Je hakua nae kwakufuata mali zake hata kama ni kidogo kiasi gani?

Hayuko kwenye kundi la indirect prostitution???
Hahahahahaaaaa.... kazi kweli kweli... meza dawa ukiwa pouwa tutachati keshoo. Sitowazungumzia wazazi wako. Unaweza kukuta ni wazee au hawapo duniani, pia naweza nkakutonesha kidonda na pia hawausiki. Busara ni kipawa kutoka kwa Mungu sio wote wana busara. Samahani kama umejikuta unadondokea kote sikukulenga wewe na wasalimie home. Mwambie mama yako akupe dawa usiku tayari. Alafu akufundishe adabuu.
 
kama hutafuti ruhusa hakukuwa na maana Ya kuuliza swali kwa kuwa majibu unayo.. Kuja kuulizwa swali linalohusu upande usiotajwa ni kumfundisha kazi mtoa mada.. Yeye ameongelea wanawake kama na wewe unajua la upande wa pili kwa wanaume liongee..

Habari ya ruhusa kaanza kuiandika nani?

Swali limetaja wapi ruhusa.

Kama mtoa mada hajapima thread kwenye mizani kwa nini asielezwe?

Heading ya thread imeandikwa ukahaba.

Wanawake wanafanya ukahaba peke yao?
 
Hahahahahaaaaa.... kazi kweli kweli... meza dawa ukiwa pouwa tutachati keshoo. Sitowazungumzia wazazi wako. Unaweza kukuta ni wazee au hawapo duniani, pia naweza nkakutonesha kidonda na pia hawausiki. Busara ni kipawa kutoka kwa Mungu sio wote wana busara. Samahani kama umejikuta unadondokea kote sikukulenga wewe na wasalimie home. Mwambie mama yako akupe dawa usiku tayari. Alafu akufundishe adabuu.

Adabu ufunzwe wewe kwanza,
ANAYESEX NA KAHABA NA YEYE NI KAHABA.

#ItBeginsWithYou#
 
Hahahahahaaaaa.... kazi kweli kweli... meza dawa ukiwa pouwa tutachati keshoo. Sitowazungumzia wazazi wako. Unaweza kukuta ni wazee au hawapo duniani, pia naweza nkakutonesha kidonda na pia hawausiki. Busara ni kipawa kutoka kwa Mungu sio wote wana busara. Samahani kama umejikuta unadondokea kote sikukulenga wewe na wasalimie home. Mwambie mama yako akupe dawa usiku tayari. Alafu akufundishe adabuu.

Sawa mtoto mzuri
 
Back
Top Bottom