Aina kuu tano za ukahaba

Aina kuu tano za ukahaba

Mi ningefurahi kama ungewashauri pia wanaume waache kununua hao makahaba sijui malaya. Bidhaa kama hainunuliki huwezi kuendelea kuuza. balancesha coz huo ukahaba hawafanyi pekeyako wanafanya na wanaume. Na waache kutongoza ovyo coz huyo unaemwita kahaba wewe ndo unaeanza kumfuata.
Una ruhusiwa na wewe kuwashauri waache. Uwanja wako brazaa.
 
Kama maharage yameiva kwa maji ya kwanza tu je yakiingia mdomoni si itakuwa kama kibogoyo anatafuna boga.
 
hiyo ya mwisho nahisi imeshika hatamu sana kipindi hiki..
 
hao indirect prostitution wako wengi sana as kipindi hiki cha ukata wa fedha. Wengi wao huwa ni kama washikaji flan hv lakin ikiwa ukimtangazia dau anakubali. Nina mfano wa dada mmoja yuko benk hapo karibia na moroko nlshawah kula kwa namna hiyo alikua mshkaji tu koz nlsoma naye chuo kimoja lakin juz kati nlvyomtangazia dau akakubali mwenywe na cha kushangaza ana jamaa yake kabisa tena
 
L

Duh. Wanawake niwa kuwa nao makini.
 
Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa

Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?
asante mkuuu kwa hilo mtoa uzi amekurupuka
 
Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa

Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?
Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa

Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?
Title inasema aina 5 za ukahaba,ukahaba unaweza ukawa wa kutaka pesa au starehe tu
 
Back
Top Bottom