Aina kuu tano za ukahaba

Aina kuu tano za ukahaba

Ehehehe hiyo INDIRECT iogope sana maana utatoa mapesa mengi kuliko hata kama ungeenda tu kununua pale Jolly Club!Anaanza kidogo kidogo na vocha hadi anafikia kumnunulia friji na matengenezo ya gari lake

Ngachoka mie na hawa watu
Yes brazaaa...
 
Ee bhana nimeipenda sana iyo description Mkuu, make ninakoishi kuna indirect prostitution wakutosha .....lisipite gari ama arufu ya mkwanja wote wanalegea kwa jina la tamaa.
 
Ha haaaa ukisikia paaaaa ujue.........!
 
lakini ndio mama zetu hawa.....!!!


Jamaa kafikisha ujumbe tena vizuri kwa wale wenye tabia hizo na ndio maana kasema waache warudi kundini IWE UMALAYA AU UKAHABA VYOTE NI VITENDO VISIVYOFAA MBELE ZA MUNGU NA JAMII kwanini tumuongelee vibaya mtoa maada hizi tabia zipo kwani hakuna wanaume mashoga na wamejitangaza TUSISHABIKIE UJINGA TUUKEMEE

men unaekimbilia wanaojiuza/malaya au yeyote tofauti na mfumo wa kimungu nawe upimwe maana unaikimbilia zinaa TAFUTA MPENZI MMOJA NDOA IFANYIKE HAYA MAOVU KUZIDI KUYACHEKEA HAYAISHI
 
Ee bhana nimeipenda sana iyo description Mkuu, make ninakoishi kuna indirect prostitution wakutosha .....lisipite gari ama arufu ya mkwanja wote wanalegea kwa jina la tamaa.



Ndo mwisho wa dunia unauza utu wako kisa pesa Hatujui vinapita tuu ivi
 
Mm naona kuna malaya wa aina mbili
1.malaya wa kutoa mzingo kwa sababu anataka ela kwa muhusika
2.malaya anayetoa mzingo kwa starehe zake.
Malaya anayetoa mzingo kwasababu ya ela au mali,huyu hata akiolewa lazima ataendelea kutoa mzingo coz umalaya for somethings hawa ndio wake za watu wameolewa lakin wanatoa mzingo kwa watu wengine, mfano kazini unakuta mkeo wa mtu anajipeleka kwa maboss ili hapewe cheo,maboss wanakula wake za watu sana.
Lakin huyu malaya wa kutoa mzingo kwa starehe anawezekano mkubwa wa kutulia anapoholewa.
Bora huyu wa starehe anaweza tulia lakin huyu wa after somethings kutulia ngumu maboss watakula mpka basi
Kuna ukweli hapa.
 
Umesahau wale wanachuo, hawaiti kujiuza wanaita KUDANGA... wanajipodoa jioni wanaenda hoteli flan flan classic wanaagiza wine au juice akijipendekeza mtu ameliwa...
Hatariiii iyooo... wanachuo nao ni wazee wa offers. Wanajiuza ki classic.
 
Ni somo zuri sana,ubarikiwe. Ungetoa na,mbinu za kuepukana,na hizo tabia za ukahaba.
Mi naona njia pekee ni kumgeukia Mungu ndo mwenye kutuwezesha kushinda ukahaba.
 
Mi ningefurahi kama ungewashauri pia wanaume waache kununua hao makahaba sijui malaya. Bidhaa kama hainunuliki huwezi kuendelea kuuza. balancesha coz huo ukahaba hawafanyi pekeyako wanafanya na wanaume. Na waache kutongoza ovyo coz huyo unaemwita kahaba wewe ndo unaeanza kumfuata.
 
Back
Top Bottom