Aina kuu tano za ukahaba

Aina kuu tano za ukahaba

Sawa mtoto mzuri
Itakua umemeza dawa haya mwambie mama asante ulale.. kesho ukiwa kwenye ahueni. When you are back to your senses kaa fikiriaaa niliokuambia what if i attacked you are parents.. i am wise... you are......
 
Swali zuri sana, luv u.


Kwa maelezo yake ukiachilia wale wanaojiuza barabarani waliobaki wote ni makahaba wasiojijua mpaka mzazi wake.!! Labda kama alikua na ujumbe mwingine amekosea kuufikisha kwa watu wenye uelewa
 
Haya na wale wanaotembea na wanaume kwa sababu ya umaarufu wao aidha wachezaji au wana muziki nao kundi gani?
 
Nowadays wanawake wamekuwa watu wa kujirahisisha sana, Yaani utadhani wasiposhughulikiwa papuchini watakufa. Kah! Wanawake mmbadilike mbona zamani wanawake waliniheshimu na maisha yalisonga tu?
 
Imenigusa nini mbona siioni... usiku mwema kwako mwana wa kahaba asiyejijua
....salaaaaleee!...hiyo sindano ulomchoma ni ya kuchomea ng'ombe ujue!
...mpe huduma ya kwanza mwenzio fasta!
 
Teh! ndio mida yako ya kujidai eh..... huyo kachafukwa yupo PM anaharisha ttt
..teh teh..mida hii si ndo watoto wamelala...jirani,PM ndo vile vyoo vyao vya kizungu vya kukaa,ama yale mambo yenu!?
 
Nowadays wanawake wamekuwa watu wa kujirahisisha sana, Yaani utadhani wasiposhughulikiwa papuchini watakufa.
Kah! Wanawake mmbadilike mbona zamani wanawake waliniheshimu na maisha yalisonga tu?
Kwan wanaojirahisisha huko papuchini wanajishugulikia wenyewe?
Wanashugulikiwa na vidume vinavyopenda vya kujirahisisha.
 
Ehehehe hiyo INDIRECT iogope sana maana utatoa mapesa mengi kuliko hata kama ungeenda tu kununua pale Jolly Club!Anaanza kidogo kidogo na vocha hadi anafikia kumnunulia friji na matengenezo ya gari lake

Ngachoka mie na hawa watu
 
Back
Top Bottom