Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
Mbona hii mada wadada wengi wanaitolea povu ?

hii avatar yako mi ndio ina amshaaaPapy Avatar inakosha watu...inaamsha zilizolala![]()
![]()
![]()
![]()

Habari za wakati huu wakubwa.
Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.
Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;
1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.
2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.
3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.
Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.
Unajmkuta mtu yuko kama sufuria ya kupikia, haeleweki wapi mbele wapi nyuma.
jmnNdio nani au ni msemo mpya mjiniCc Le mutuz.
Mimi mwenyewe mgeni.Ndio nani au ni msemo mpya mjini
Ni mara ya pili nakuona unasikitikia hilo eneo, why!!!Asante mkuu nimekusikia.
Achana nayeKwani nani anakufuata mkuu?
Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali
tema mate chiniHabari za wakati huu wakubwa.
Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.
Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;
1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.
2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.
3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.
Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.
PovuInasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.
Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.

Tatizo ni yeye kutoa maoni yake,mambo yakuumba yametoka wapi tena,na huo mjumuisho wako wa mapenzi nani kakwambia mtoa mada anautaka,we elewa tu kaa mbali na yeye.Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.
Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Povu![]()
![]()
![]()
Hahaaaa! Uzuri hata mpango wa kumsogelea sina.Tatizo ni yeye kutoa maoni yake,mambo yakuumba yametoka wapi tena,na huo mjumuisho wako wa mapenzi nani kakwambia mtoa mada anautaka,we elewa tu kaa mbali na yeye.
MhMwanamke mwenye shape kama tuta la viazi akae mbali
Mwanamke mwenye migulu baja I.e miguu kama namba saba ya kirumi akae mbali
Mwanamke mwenye matiti makubwa kama ng'ombe wa kisasa apite mbali