Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Mwanamke mwenye shape kama tuta la viazi akae mbali

Mwanamke mwenye migulu baja I.e miguu kama namba saba ya kirumi akae mbali

Mwanamke mwenye matiti makubwa kama ng'ombe wa kisasa apite mbali

Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali
nafanya maombi:

MUNGU BABA ULIYE KETI KITI CHA JUU NA UKASEMA MIGUU YAKO INAKANYAGA DUNIANI SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO, MWENYENZI NAOMBA TOBA KWA MLETA MADA NA VIJANA WENGINE WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO NA KUSAHAHU KILA BINADAMU AMEKUJA DUNIANI KWA KUSIDIO MAALUMU NA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKO , LEO HII WAMEKAA NA KUKOSOA UUMBAJI HUO WAREHEMU BABA ..

KATIKA NENO LAKO ULISEMA TUOMBE LOLOTE TUTAPATA , MUNGU MWENYE ENZI NAOMBA HAWA WANAUME WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO HAYO MAKOSA WALIOANDIKA NDIYO WAWE WAKE ZAO NA WAKIOA WALE WANAO WATAKA WAO MAISHA YAO YAWE TABU NA SHIDA TUPU... AMEN
 
Hakika Mungu amesikia
 
1. Mwanamke anayedhani mimi nina printer ya ela akae mbali namimi.

2. Mwanamke anayedhani uzuri wake ndio kila kitu ili awe namimi basi namwambia akae mbali namimi.

3. Mwanamke anayedhani yeye ni mkamilifu na akikosea haombi samahani basi akae mbali namimi.

4. Mwanamke anayedhani maisha yetu mimi nayeye ni kwa ajili ya kuonekana na majirani basi akae mbali namimi.
 
Back
Top Bottom