Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Aibu ya mwaka kwa Mwigulu

Status
Not open for further replies.
Kiomboi kuna timu gani ya maana hadi ifungiwe safari na Simba? Rage anaidhalilisha sana Simba
 
Kwahiyo wewe ndio wa kumpangia Mwigulu nini cha kufanya???

Tatizo la Mwigulu ni kuleta Simba ama???
 
Kuizuia Chadema ni sawa na kuzuia maji kwa mikono! Watanzania wanahitaji mabadiliko!
 
  • attachment.php





Hizo gharama za kuileta Simba angwekeza kwenye madawati, madawa hospital na maji kwa wanana Ilamba si wangemuona wamaana sasa yeye anajifanya wa maana kwa mambo ambayo sio hitaji la wananchi kwali cccccm wamefirisika kisiasa na ki priorities. VIVA CDM
 
Dr. Kitila,
Nlipata shida sana baada ya kupata taarifa ya ujio wa Simba. Hofu yangu ilitokana na ukaribu kutoka uwanja ambapo mechi imechezwa na pahala ambapo tuliandaa mkutano. Cha ajabu, Mkutano umemalizika hata kabla ya mechi kuanza kutokana na gari ya Simba kupata hitilafu.
Wananchi wa Iramba wamefanya maamuzi sahihi leo, wamechagua Jembe na mfuko wa mbegu badala ya Sinema ya maigizo..


Chezea SIMBA wewe, wote ni CHADEMA! walijua kabisa kuna mkutano wa chadema wakajifanya gari lilipata hitilafu ili mradi kumkomesha Mwigulu.
 
CDM piga mikutano 30 pale IRAMBA TU then tuone kama huyu m p u m b a v u Mwigulu ataleta Simba kila siku
 
Tetesi:kwa taarifa nilizopata toka kwa wafuasi wake mpaka jioni ametumia milioni 40 kugharamia maandalizi na matunzo ya timu na wachezaji. Haijulikani gharama nyingine ambazo hajaweka wazi.
 
Kwanza nimpe pongezi na hongera za dhati kamanda Dr Slaa na timu yake kwa kuzidi kupasua anga na kueneza elimu ya uraia. Jana walipiga mikutano mikubwa mkoani wa Tanga kwa kuanzia wilayani na baadae kumalizia Tanga mjini.

Pili nimpe pole hammy D aka Mwigulu Nchemba aliye wahi kuja jukwaani na kukimbilia kusema kuwa Chadema imekosa watu kabla hata ya mkutano kumbe alikuwa anajua kuwa mpira wa bure utawafanya wana Iramba kwenda kuwaona Simba na kuacha kupata darasa la uraia kutoka kwa Dr wa ukweli.

Wazo la mabadiliko linapo kuwa limefika kichwani, hata zingekuja timu gani kubwa kutoka sayari yoyote! Timu hizo haziwezi kuzuia wazo la mabadiliko vichwani mwa wananchi wanao yataka mabadiliko.

Sio timu ya Simba tu ambayo Mwigulu ameweza kuitumia lakini hata angetumia majeshi bado angekwama, kwa sababu historia ya dunia inaonyesha kuwa hakuna jeshi kubwa lenye nguvu duniani lililo wahi kuzuia wazo la mabadiliko lililo kuwa tayari limejiri vichwani mwa wananchi na kufanikiwa.

Mwigulu bado angeendelea kushindwa tu hata angetumia majeshi ya Misri! Kuna jamaa yangu mmoja alisema "Mwigulu ni mbunge wa muda aliye bakiza miaka 2, mbunge wa jimbo yuko chuo kikuu akinoa mbongo za vijana". Sikutaka kumuuliza kuwa ni nani maana unaye nisoma tayari unamjua.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom