Aibu: Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa waTorori (CCM) ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za uvunjaji wa Magodown

View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
Chama cha majambazi.. Kila mrefu anakula mbuzi kwa kamba yake
 
Sawa bhana.
 
Ally kipenda roho.
Kaacha kupenda watoto wa.watu kapenda vya watu.
Hicho chama kuanzia chini kabisa kwenye mizizi mpaka ngazi ya pale matawi yanakoanzia kuona ni ...............
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
Mbona huyu alikuwa Chadema
 
Chama cha majambazi.. Kila mrefu anakula mbuzi kwa kamba yake
IMG_20220119_153335.jpg
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
HIYO NI TAMAA YAKE BINAFSI SASA UNAISHABIKIAJE HAPA JUKWAANI KISHABIKI KAMA VILE CCM NDIYO WOTE WEZI?

HEBU JIKUMBAUSHE HAPA JINSI ABUBAKAR ALIVYOUZA CHAMA NA NYIE MKASHANGILIA

1643114819706.png

2878995_images_9.jpeg
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
Hawa ndio wanatusumbua humu na viposti vya kipuuzi
 
Au ndiyo maana mheshimiwa alizawadiwa shahada ya uzamivu pale UDOM kutokana na kazi yake ya kutukuka ndani ya CCM ya kufanikisha ushindi wa kishindo kwa chama chake, katika ule uchafuzi wa mwaka 2019.
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
CCM ni Chama changu ila kuna shida.Viongozi walio wengi CCM ni wale waliopata mali kwa njia haramu na hatimaye kuzitakatisha kwa kutumia siasa.Mali hizi haramu zimewapatia umaarufu na hivyo kupeta katika chaguzi mbali mbali,na wakati mwingine hata kutumia mali hizo hizo haramu kununua wapiga kura na hata nafasi mbali mbali za uteuzi.No wonder CCM uaminifu na weledi is far fetched.Mfumo huo lazima ufumuliwe,vinginevyo CCM itabaki kuwa kichekesho kwa Watanzania intelligent na makini.
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
Jpm alitaka iwe hivyo ili waibe.
Uliona wapi Ccm mpinga rushwa.??
 
Back
Top Bottom