engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
tatizo ni kwamba tuanadharau na kulalamikia kila jambo litakalofanyika na CCM na serikali yake,lakini kama tungekuwa na watu waishio mazingira hayo kulikozinduliwa daraja,wao ndio wangetueleza umuhimu wa hilo daraja kwao,
lakini pia uwepo wa Mh Raisi labda ni ktk kuwaonyesha wanachi kuwa ile ahadi niliyoitoa sasa nimeitekeleza so kulikuwa na haja yeye mwenyewe mtoa ahadi kuwepo na mtambue kuwa kuna baadhi ya vijiji hawajahi waona maraisi wao tangu kitambo sana,sasa huu ulikuwa mda mwafaka kwa wapiga kura kumwona kiongozi wao
kwa upande wangu napongeza kwani nikikumbuka nyumbani pale KIHELEZO-KIDODI-LUHEMBE hata tukipewa daraja la mambao tu tutashukuru daima,kwani mpaka sasa ni miaka zidi ya 50 tunapita mto MSOWERO,MTO KIHELEZO na MTOLUHEMBE kwa kuogelea na mkumbuka mwenyekiti wangu TOBE MZIGO aliyekufa kwa kusombwa na maji ya MTOMSOWERO mungu amlaze mahali panapo stahili
so kiukweli kwa sisi tunaoishi vijijini tunatambua umuhimu wa hivyo vidaraja mnavyovidharau
HONGERA MH RAISI uje ha hapa Kihelezo hii mito mitatu inatusumbua sana,sisi hata mkiweka mimbao kwetu ni ukombozi wa khali ya juu