mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,300
- 523
Hicho kidaraja ni kwa ajili ya wapiga kura wake kulizindua ameonyesha kuwathamini sana sana wapigakura hao na kuwa karibu nao we mwehu kwani hawastahili kuzinduliwa daraja na rais wao nani anastahili ni nyie wa DSM au!!Rais ni wa wote hata akihudhuria mahafali ya chekechea ni sawa kabisa.acheni mambo ya ki*****nge!!