Aibu airport

Aibu airport

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1370478959750.jpg
    uploadfromtaptalk1370478959750.jpg
    30.4 KB · Views: 1,046
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
 
binafsi zaidi ya mara 3, mibomba inamwaga maji yanatuama hovyo tu.
 
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?

Unawezaje kulinganisha airport na nyumba binafsi? Next time kama huna la kuchangia kaa mbali !. Nadhani hujawahi kuwa exposed kwenye airport nje ya Tanzania uone wenzetu wanavyozingatia usafi .

JKNIA haiko vizuri kiusafi !yet ina represent as our top Airport .
 
Walijisahau watarekebisha hiyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU

Wewe utakua ulienda vyoo vya wabongo ndo vilivyo ungeingia vile vya foreiners
 
Yale matangazo ya biashara na vurugu ya viosk ndio kero ya kupitiliza !
 
Tanzania tunaiita nchi inayoendelea, je wakati nchi zilizoendelea zikiwa stage kama hii tuliyopo walikuwa wanafanya mambo ambayo serikali yetu inayafanya ama kuyazembea kama sisi?
 
da kwa bongo hapa asilimia kubwa ya maofisi nq public places kwenda choooni majanga bora hata ungetafuta kibaa cha uchochoroni mkuu......
 
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Haya si majibu ya mtu mwenye hekima. choo ni sehemu inayo takiwa kuwa safi sana, huko ndiyo chando cha magonjwa ya kuambukiza. kutoa kasoro ni sehemu ya kuboresha kitu
 
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?

Watanzania wengi wanawaza kama wewe.ukipewa kazi fanyakazi kwa ufanisi mkubwa.of all the places toilets zinatakiwa kuwa safi kila wakati mwaka mzima.unajua watu wengi wanapewa kazi sehemu nyeti bila kujua uwezo wao.Aibu gani tunapata kwa wageni kutoka Nchi za wenzetu.
 
Haya si majibu ya mtu mwenye hekima. choo ni sehemu inayo takiwa kuwa safi sana, huko ndiyo chando cha magonjwa ya kuambukiza. kutoa kasoro ni sehemu ya kuboresha kitu

Umesema kweli kabisa. Ila usipate stress sana ndugu yangu ........................... Hivi umeshatafakari jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika sekta mbali mbali??? Hii inaonyesha kuwa ACCOUNTABILITY katika idara nyingi au vitengo vingi hapa nchini ni almost 0 ................. CHANGE is needed in all aspects - PRAY FOR THIS NATION!!!
 
thanks, and I always do
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom