Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Halafu wana dereva wao flani hivi mweusi giant...Daah...yaani safari haichoshi... very mkarimu jomoniii[emoji39]
Madereva wao wapo vizuri sana, smart kwa kwenda mbele(suti kama kawa)

Kondakta ni wadada kama wa Bombardier[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2](wenzangu na mimi tutaelewana hapa).

Nilipanda ABC ya Dom-Dar mwaka jana, kulikuwa na Dereva anatangaza mara kwa mara kwa spika huku akawa anachekesha abiria hatari, yaani kama comedy. Kukanyaga gia hapo ndio mahali pake. Saa 4:30 anaamsha Dom, saa 12 yupo viunga vya Dar.
 
ABC itabaki kileleni...hahaha huchoki aisee,.mm kuna safari moja natoka Dom nilitamani ile foleni ya ubungo igande tuu tusiingie terminal kwa raha...plus u-smart wa wahudumu..lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom