Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Sikh nimefika pale kimbinyiko wananiambia ipo ya SAA tano imebaki nauli 38 ..nikasema hebu niione inanini aisee sikujutia kwakweli Kimbinyiko amejitahidi sana
 
Mimi napenda champion ambayo ni full kunguni, gia tu kwanza wanaitana konda na dereva wake ili kuzungusha kile kirungu
 
Safari yangu ya Dar to Dodoma ilikuwa mujarabu sana utafikiri nilikuwa ndani ya Turkish airlines. Aisee sikudhani kama Tanzania kuna usafiri wa bus mtamu kama huu, very very classical.

Hakuna kukunja miguu ni kama upo ndani ya business class angani

Kimbinyikyo I will forever miss you, toka nianze kupanda hizi bus zinazoitwa luxury bus sijawahi kukutana na gari nzuri kama hii.

Kwanza wafanyakazi wananukia safi.
Wafanyakazi wananukia.. mmm

Yamkini unakitu unafukuzia humo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom