Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Mimi napenda champion ambayo ni full kunguni, gia tu kwanza wanaitana konda na dereva wake ili kuzungusha kile kirungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
At work
Hahahaha
Siku moja tembelea Arusha
Utazikuta zile zenyewe classic
Nadhani utakuwa unaziota ata ukifika kwako
Safari yangu ya Dar to Dodoma ilikuwa mujarabu sana utafikiri nilikuwa ndani ya Turkish airlines. Aisee sikudhani kama Tanzania kuna usafiri wa bus mtamu kama huu, very very classical.

Hakuna kukunja miguu ni kama upo ndani ya business class angani

Kimbinyikyo I will forever miss you, toka nianze kupanda hizi bus zinazoitwa luxury bus sijawahi kukutana na gari nzuri kama hii.

Kwanza wafanyakazi wananukia safi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom