Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Safari yangu ya Dar to Dodoma ilikuwa mujarabu sana utafikiri nilikuwa ndani ya Turkish airlines. Aisee sikudhani kama Tanzania kuna usafiri wa bus mtamu kama huu, very very classical.
Hakuna kukunja miguu ni kama upo ndani ya business class angani
Kimbinyikyo I will forever miss you, toka nianze kupanda hizi bus zinazoitwa luxury bus sijawahi kukutana na gari nzuri kama hii.
Kwanza wafanyakazi wananukia safi.