Hongera ila wanaume naona huko kwenye michepuka huwa tunafanya mazoezi tu mechi kwa mkeo na wala hawakaagi moyoni.Habari zenu wadau,
Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mme wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother. Alikuwa anajitahidi sn kumbembeleza mume wangu ili ampatie mahitaji mbalimbali kama kodi na ada ya mtoto wake.
So baada ya mie kugundua na kugombana na mme wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct) akanishukuru kwa kumlinda na kanihakikishia mimi ndio chaguo la moyo wake kama ambavyo ameapa mbele ya Mungu.
Sasa basi huwa nafatilia status yake watsapp nikakuta anasikitikia mapenzi yamekufa. Akaja kuweka nyingine anasikitikia kuwa "mme wa mtu atakuchezea, atakugeuza na atafanya anavyotaka kisha atarudi kwa mkewe".Nilichogundua ni kuwa mume wangu kaachana na mchepuko wake.
Jamani michepuko mkiachwa msilalamike sana kwa kuwa nyinyi ni viburudisho tu, na ukimpata mume wa mtu usijione kuwa wewe ni zaidi sana ya mkewe.
NDOA NA IHESHIMIWE
Umeona eeee umenena ndugu hadi waamue wenyewe Kwan status ndio ndio inasex? Kuna mdada alishapelekwa hadi dawat la jinsia ili kuachanishwa ila wakitoka pale mambo yanazidi kuwa motrooooo penzi linachipuka upyaaaaUna hakiki kwa kuangalia "wasap" status?!,vp kama wanakupoteza maboya?.....mana hawajaachana wenyewe,umeingilia kati mchepuko wao.omba mungu tu waachane wenyewe! Vinginevyo hao bado....
asante sana.You handled it perfectly
Umeolewa ?.Umeona eeee umenena ndugu hadi waamue wenyewe Kwan status ndio ndio inasex? Kuna mdada alishapelekwa hadi dawat la jinsia ili kuachanishwa ila wakitoka pale mambo yanazidi kuwa motrooooo penzi linachipuka upyaaaa
Mimi namjua vizuri wa kwangu. Ni kweli kuna wengine wanaingia katika ugomvi Mkubwa hadi kuaibishana hatujafikia hukoUmeona eeee umenena ndugu hadi waamue wenyewe Kwan status ndio ndio inasex? Kuna mdada alishapelekwa hadi dawat la jinsia ili kuachanishwa ila wakitoka pale mambo yanazidi kuwa motrooooo penzi linachipuka upyaaaa
Nikusaidie kitu mdada ??..... HAKUNA MWANAMKE ALIYENDOANI ANAYESHABIKIA UCHEPUKAJI WAMUME WAKE NAKUCHUKULIA KAWAIDA .HAYUPOOOOO.Mimi namjua vizuri wa kwangu. Ni kweli kuna wengine wanaingia katika ugomvi Mkubwa hadi kuaibishana hatujafikia huko
Unafaa kuwa mwanasaikolojia[emoji3] ..bibie anahitaji mawazo positive ili awe na amaniMadame ,, nmefatilia sana majibu yako toka mwanzo wauzi...nivi Upo sahihi na unachokiamin kipo sahihi kabisa nandivo ilivo.
Mumeo kaamua kutulia na amemuambia kweli ,unless baadae akuzunguke aende kulibembeleza Ilo demu..
Niivi ,kwakawaida hamna mwanamke asotaka kuheshimiwa ,,hata uyo mchepuko licha yakua anataka mahitaji kwamwanamme bado anaitaji uyo mwanamme amuheshimu saaana nahata ikiwezekana amfanye nyumba ndogo.
Sasa wote wanaokuambia kua mumeo amefanya dili na mchepuko ili aandike izo status SIO KWELI NA NIAINA YA WATU AMBAO UKIFUATILIA SANA WAO NI;---
watembeaji wazuri Wa waume zawatu +single maza 100% .
Sasa watu waaina hiyo siku zote huwaga ningumj kwao kukubaliana naukweli wamambo !!.
Ila take it from me ,Mumeo anakupenda sanaaaaa ,, nakweli ameachana nahuyo mwanamke , nandio maana unaona Moshi unamfukuta huko huko.
Wangekua wamepanga ,ungeona wanatulia tuuu, wala asingeweka status ya Wasap ili hali anajua kila MTU anaiona ,awe ndugu ,rafiki ,jamaa, n.k
Kwaiyo kaiweka ili mradi tu, Afikishe ujumbe kwa mumeo ,,hapa anatafuta huruma.
Lkn pia kaiweka ili kujilaumu Moyo wake sababu mategemeo yake yameenda visivyo !!.
NIKUPE HONGERA KWA UJASIRI WAKO WA KUPIGANIA NDOA YAKO NA MUMEO , NA NIKUHAKIKISHIE KITU KIMOJA ,ENDELEA KUA IVO IVO !!.
Sio kuwa na amani fakeUnafaa kuwa mwanasaikolojia[emoji3] ..bibie anahitaji mawazo positive ili awe na amani
sio kweli hata kidogoLinaweza kuchezwa picha tu ili upumbazwe waendelee kugegedana
Aaahhh unajua nn ,, humu JF ukiandika suala la ndoa /familia....isipokua makini Utavuruga ndoa yako kwa mawazo yawatu walokwisha kushindikana nawanaopenda mtu kuharibiwa !!.Unafaa kuwa mwanasaikolojia[emoji3] ..bibie anahitaji mawazo positive ili awe na amani
Exactly mkuuNyumba ndogo nyie mmeshindwa kuwaelewa.
Wengi hawana waume wa kuwahudumia. Kupata mwanaume anayemlipia kodi ya nyumba na kupush karo za watoto Apewe nini? Gunia la chawa?
yeye atakachofanya ni kutiii kila lijalo aendelee kupata huduna.
Ndiyo maana, muda wowote ukimhitaji yupo. Shida yake sio wewe ila ni anachokipata kutoka kwako.
Angemuoa mke wa Pili jamani muonee Huruma mwenzako dah! Naye ana hisia na Mme wako. Utapata thawabuHabari zenu wadau,
Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mme wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother. Alikuwa anajitahidi sn kumbembeleza mume wangu ili ampatie mahitaji mbalimbali kama kodi na ada ya mtoto wake.
So baada ya mie kugundua na kugombana na mme wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct) akanishukuru kwa kumlinda na kanihakikishia mimi ndio chaguo la moyo wake kama ambavyo ameapa mbele ya Mungu.
Sasa basi huwa nafatilia status yake watsapp nikakuta anasikitikia mapenzi yamekufa. Akaja kuweka nyingine anasikitikia kuwa "mme wa mtu atakuchezea, atakugeuza na atafanya anavyotaka kisha atarudi kwa mkewe".Nilichogundua ni kuwa mume wangu kaachana na mchepuko wake.
Jamani michepuko mkiachwa msilalamike sana kwa kuwa nyinyi ni viburudisho tu, na ukimpata mume wa mtu usijione kuwa wewe ni zaidi sana ya mkewe.
NDOA NA IHESHIMIWE
Usjali ling Mme wako hujawahi Kuchepuka bana. Wanakutaniasio kweli hata kidogo
Mimi apaambaye hajawahi kuchepuka anyooshe kidole juu
Hawezi kukaa na mme huyo... Kazoea kuchepukiwaAngemuoa mke wa Pili jamani muonee Huruma mwenzako dah! Naye ana hisia na Mme wako. Utapata thawabu