Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

So baada ya mie kugundua na kugombana na mme wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct)
Dah! Wewe ni bonge la mwanamke... Mungu akubariki sana...
 
Habari zenu wadau,

Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mme wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother. Alikuwa anajitahidi sn kumbembeleza mume wangu ili ampatie mahitaji mbalimbali kama kodi na ada ya mtoto wake.

So baada ya mie kugundua na kugombana na mme wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct) akanishukuru kwa kumlinda na kanihakikishia mimi ndio chaguo la moyo wake kama ambavyo ameapa mbele ya Mungu.

Sasa basi huwa nafatilia status yake watsapp nikakuta anasikitikia mapenzi yamekufa. Akaja kuweka nyingine anasikitikia kuwa "mme wa mtu atakuchezea, atakugeuza na atafanya anavyotaka kisha atarudi kwa mkewe".Nilichogundua ni kuwa mume wangu kaachana na mchepuko wake.

Jamani michepuko mkiachwa msilalamike sana kwa kuwa nyinyi ni viburudisho tu, na ukimpata mume wa mtu usijione kuwa wewe ni zaidi sana ya mkewe.

NDOA NA IHESHIMIWE
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
umeona status whatsapp tu ukajiridhisha moja kwa moja kua ameachana na mchepuko.
kama ameachana nae kweli thats is better. ila unatakiwa ujue ofkoz lazima atumie strategy za kukuonyesha kwamba ameachana na mchepuko ili kunusuru ndoa. mbaya zaidi michepuko wa siku hizi wengi wanajua nafasi zao, ukiwanae anakuuliza mkeo hajambo, watoto? anakusaidia kuwanunulia zawadi, anaweza kuchukua simu yako akakusaidia kumwandikia wife msg nzuri ya mapenzi, na mbaya zaidi anakupa mbinu za kumzuga wife ili asijue na wife akijua, mchepuko huyohuyuo atakupa strategies za kumlainisha wife akusamehe, inawezekana mchepuko ndio amemdraftia hizo status. my point is, fanya uchunguzi yakinifu, ndipo ujiridhishe. pia iombee ndoa yako
 
hujanielewa mkuu... Hizo status huwa nazichungulia kwenye status ya mchepuko kupitia simu yangu.
 
Hahahaaa wanaume wapi hao !
Hapo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Siku akikumbuka kiuno kama cha wacheza shoo wa Twanga pepeta
Anamtxt tu baby am back...huyu fala nimeshamtuliza njoo tujilie mema ya nchi...
Nyumba ndogo hawanaga hiyana
Laiti angewafahamu wanaume kwa jicho la tatu. Hapo anatulizwa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mwanaume ananogewa na kiuno cha mchepuko mpaka anamsumulia madhaifu yako yote ndani. [emoji119]
 
umeona status whatsapp tu ukajiridhisha moja kwa moja kua ameachana na mchepuko.
kama ameachana nae kweli thats is better. ila unatakiwa ujue ofkoz lazima atumie strategy za kukuonyesha kwamba ameachana na mchepuko ili kunusuru ndoa. mbaya zaidi michepuko wa siku hizi wengi wanajua nafasi zao, ukiwanae anakuuliza mkeo hajambo, watoto? anakusaidia kuwanunulia zawadi, anaweza kuchukua simu yako akakusaidia kumwandikia wife msg nzuri ya mapenzi, na mbaya zaidi anakupa mbinu za kumzuga wife ili asijue na wife akijua, mchepuko huyohuyuo atakupa strategies za kumlainisha wife akusamehe, inawezekana mchepuko ndio amemdraftia hizo status. my point is, fanya uchunguzi yakinifu, ndipo ujiridhishe. pia iombee ndoa yako
Yaani umeongea vya kweli mpaka basi. [emoji23]
Atazimia.
Ukiwa mke wa mtu shukuru MUNGU tu. Michepuko inajua nafasi yake
 
hujanielewa mkuu... Hizo status huwa nazichungulia kwenye status ya mchepuko kupitia simu yangu.
Madame ,, nmefatilia sana majibu yako toka mwanzo wauzi...nivi Upo sahihi na unachokiamin kipo sahihi kabisa nandivo ilivo.

Mumeo kaamua kutulia na amemuambia kweli ,unless baadae akuzunguke aende kulibembeleza Ilo demu..

Niivi ,kwakawaida hamna mwanamke asotaka kuheshimiwa ,,hata uyo mchepuko licha yakua anataka mahitaji kwamwanamme bado anaitaji uyo mwanamme amuheshimu saaana nahata ikiwezekana amfanye nyumba ndogo.

Sasa wote wanaokuambia kua mumeo amefanya dili na mchepuko ili aandike izo status SIO KWELI NA NIAINA YA WATU AMBAO UKIFUATILIA SANA WAO NI;---
watembeaji wazuri Wa waume zawatu +single maza 100% .

Sasa watu waaina hiyo siku zote huwaga ningumj kwao kukubaliana naukweli wamambo !!.

Ila take it from me ,Mumeo anakupenda sanaaaaa ,, nakweli ameachana nahuyo mwanamke , nandio maana unaona Moshi unamfukuta huko huko.

Wangekua wamepanga ,ungeona wanatulia tuuu, wala asingeweka status ya Wasap ili hali anajua kila MTU anaiona ,awe ndugu ,rafiki ,jamaa, n.k

Kwaiyo kaiweka ili mradi tu, Afikishe ujumbe kwa mumeo ,,hapa anatafuta huruma.

Lkn pia kaiweka ili kujilaumu Moyo wake sababu mategemeo yake yameenda visivyo !!.

NIKUPE HONGERA KWA UJASIRI WAKO WA KUPIGANIA NDOA YAKO NA MUMEO , NA NIKUHAKIKISHIE KITU KIMOJA ,ENDELEA KUA IVO IVO !!.
 
Hahahaaa wanaume wapi hao !
Hapo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Siku akikumbuka kiuno kama cha wacheza shoo wa Twanga pepeta
Anamtxt tu baby am back...huyu fala nimeshamtuliza njoo tujilie mema ya nchi...
Nyumba ndogo hawanaga hiyana

andka yake tu ni bado sana !hajawajua wanaume hata nukta!hongera zake
 
Hahahaaa!! Kweli wanawake sie rahisi kweli kudanganyika.
Ila kwenye hii dunia hope usipojipa mwenyewe ukasubiri ya kupewa utakesha.

Ni vyema ukaamini hivyo kwa ustawi wa ndoa yako.

hhahahah unaweza taman kusonya !dah ! bora lakini kuwa km huyu kuamini tu !utafanyeje sasa
 
Mume akichupeka anafanya kwa hivyo kwa tamaa tu, ila mke akichepuka huwa ndiyo mazima yani hisia juu ya mume wake zimeshakufa muda....
 
Mume akichupeka anafanya kwa hivyo kwa tamaa tu, ila mke akichepuka huwa ndiyo mazima yani hisia juu ya mume wake zimeshakufa muda....

hakuna kitu kibaya kwenye ndoa km mke kuchepuka !sijui ni kwann jaman !yan ulivyosema sio kufa tu ! HAZIPO
 
hakuna kitu kibaya kwenye ndoa km mke kuchepuka !sijui ni kwann jaman !yan ulivyosema sio kufa tu ! HAZIPO
Dawa ni kuacha kuchepuka kabisa na ukomae na dyudu hiyo hyo uliyochagua hata kama imeipungua utamu
 
Back
Top Bottom