linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
Habari zenu wadau,
Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mume wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother alikuwa anajitahidi sana kumbembeleza mume wangu ili ampatie mahitaji mbalimbali kama kodi na ada ya mtoto wake.
So baada ya mimi kugundua na kugombana na mume wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct) akanishukuru kwa kumlinda na kanihakikishia mimi ndio chaguo la moyo wake kama ambavyo ameapa mbele ya Mungu.
Sasa basi huwa nafatilia status yake WhatsApp nikakuta anasikitikia mapenzi yamekufa. Akaja kuweka nyingine anasikitikia kuwa "mume wa mtu atakuchezea, atakugeuza na atafanya anavyotaka kisha atarudi kwa mkewe".Nilichogundua ni kuwa mume wangu kaachana na mchepuko wake.
Jamani michepuko mkiachwa msilalamike sana kwa kuwa nyinyi ni viburudisho tu, na ukimpata mume wa mtu usijione kuwa wewe ni zaidi sana ya mkewe.
NDOA NA IHESHIMIWE
NYONGEZA...
heshima na upendo pia hilo ndo wachangiaji wengi humu hasa wanawake wenzangu (hasahasa single mothers). Sio kweli kuwa mke akijua mme ana mchepuko atakaa kimya na kudai kuwa ana hali ya kawaida, sio kweli. Ni lazima atauliza (iwe kwa ugomvi au kwa ustaarabu) sasa basi RESPONSE YA MUME ndo kiini cha hoja yangu. Yupo mwanaume hajali hisia zako hata kwa kukudanganya. Kwa uzoefu uaminifu ktk ndoa ni asilimia 2 tu si wanawake wala si wanaume TATIZO hapa ni nani kawahi kumkamata mwenzake. Hatujaoa/kuolewa na malaika. Mlitaka nije na uzi wa MME WANGU NMEMFUMANIA KANAMBIA NICHAGUE MOJA KUBAKI AMA NIONDOKE NISHAURINI JAMANI... tuwe wakweli. Sijasema hatatongoza tena ila for the time being ameonesha KUJALI