Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Nyumba ndogo nyie mmeshindwa kuwaelewa.Uzuri wa nyumba ndogo ni wavumilivu sana.
Anajua kabisa umetoka kwako kupiga mzigo na bado anakupa mashamshamu kibao bila hasira wala roho mbaya[emoji3][emoji3][emoji3]
Wengi hawana waume wa kuwahudumia. Kupata mwanaume anayemlipia kodi ya nyumba na kupush karo za watoto Apewe nini? Gunia la chawa?
yeye atakachofanya ni kutiii kila lijalo aendelee kupata huduna.
Ndiyo maana, muda wowote ukimhitaji yupo. Shida yake sio wewe ila ni anachokipata kutoka kwako.