MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
waambie hao !Dawa ni kuacha kuchepuka kabisa na ukomae na dyudu hiyo hyo uliyochagua hata kama imeipungua utamu
waambie hao !Dawa ni kuacha kuchepuka kabisa na ukomae na dyudu hiyo hyo uliyochagua hata kama imeipungua utamu
Umeandika ukweli mtupu... Kula tano mkuu.Mume akichepuka hamaanishi hakupendi , yaan mpaka anakuoa we basi nikitoka ujue amechagua na ukachagulika !!.
Huko tunaendaga kusafisha rungu tu .
Tupumzisheni kidogoandka yake tu ni bado sana !hajawajua wanaume hata nukta!hongera zake
hayaTupumzisheni kidogo
Ndiyo mtueleze kwanini mnaipenda mchepuko kwa moyo mnyoofu hivyo na kumsahau hata mume, nini kimejificha ndani ya mioyo yenuhakuna kitu kibaya kwenye ndoa km mke kuchepuka !sijui ni kwann jaman !yan ulivyosema sio kufa tu ! HAZIPO
sijui kwakweli!labda tuwaite wahusika!Ndiyo mtueleze kwanini mnaipenda mchepuko kwa moyo mnyoofu hivyo na kumsahau hata mume, nini kimejificha ndani ya mioyo yenu
ohooo tungo tata hapo imenichanganya mama. ila iombee sana ndoa yako. pia kua karibu na mumeo ili asipate upenyo wa kuangalia nyumahujanielewa mkuu... Hizo status huwa nazichungulia kwenye status ya mchepuko kupitia simu yangu.
Usumati kwenye uzinzi Afrika bwana raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume tuko very very smart.....anyway jenga na imarisha ndoa yako.......yasijekukuta ya mkwezi......
Nashukuru sana mkuu. Yaani wewe umenielewa asilimia 100. Mme wangu sio mshabiki wa watsapp profile. Nnachoamini ibilisi ameaibika, wafuasi wake wanajaribu kumtetea kwa nguvu..Madame ,, nmefatilia sana majibu yako toka mwanzo wauzi...nivi Upo sahihi na unachokiamin kipo sahihi kabisa nandivo ilivo.
Mumeo kaamua kutulia na amemuambia kweli ,unless baadae akuzunguke aende kulibembeleza Ilo demu..
Niivi ,kwakawaida hamna mwanamke asotaka kuheshimiwa ,,hata uyo mchepuko licha yakua anataka mahitaji kwamwanamme bado anaitaji uyo mwanamme amuheshimu saaana nahata ikiwezekana amfanye nyumba ndogo.
Sasa wote wanaokuambia kua mumeo amefanya dili na mchepuko ili aandike izo status SIO KWELI NA NIAINA YA WATU AMBAO UKIFUATILIA SANA WAO NI;---
watembeaji wazuri Wa waume zawatu +single maza 100% .
Sasa watu waaina hiyo siku zote huwaga ningumj kwao kukubaliana naukweli wamambo !!.
Ila take it from me ,Mumeo anakupenda sanaaaaa ,, nakweli ameachana nahuyo mwanamke , nandio maana unaona Moshi unamfukuta huko huko.
Wangekua wamepanga ,ungeona wanatulia tuuu, wala asingeweka status ya Wasap ili hali anajua kila MTU anaiona ,awe ndugu ,rafiki ,jamaa, n.k
Kwaiyo kaiweka ili mradi tu, Afikishe ujumbe kwa mumeo ,,hapa anatafuta huruma.
Lkn pia kaiweka ili kujilaumu Moyo wake sababu mategemeo yake yameenda visivyo !!.
NIKUPE HONGERA KWA UJASIRI WAKO WA KUPIGANIA NDOA YAKO NA MUMEO , NA NIKUHAKIKISHIE KITU KIMOJA ,ENDELEA KUA IVO IVO !!.
Not true...Mume akichupeka anafanya kwa hivyo kwa tamaa tu, ila mke akichepuka huwa ndiyo mazima yani hisia juu ya mume wake zimeshakufa muda....
Mie nimeshajifunza kumpa asilimia chache mwanaumeLaiti angewafahamu wanaume kwa jicho la tatu. Hapo anatulizwa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mwanaume ananogewa na kiuno cha mchepuko mpaka anamsumulia madhaifu yako yote ndani. [emoji119]
Nashukuru sana mkuu. Yaani wewe umenielewa asilimia 100. Mme wangu sio mshabiki wa watsapp profile kiasi kwamba akae na huyo dada wapange kuni-fake, lkn pia Mimi ninachungulia tu kwenye kwenye profile ya mchepuko coz nlichukua namba yake na wala sijawahi kuwasiliana naye. Nnachoamini ibilisi ameaibika, wafuasi wake wanajaribu kumtetea kwa nguvu..Madame ,, nmefatilia sana majibu yako toka mwanzo wauzi...nivi Upo sahihi na unachokiamin kipo sahihi kabisa nandivo ilivo.
Mumeo kaamua kutulia na amemuambia kweli ,unless baadae akuzunguke aende kulibembeleza Ilo demu..
Niivi ,kwakawaida hamna mwanamke asotaka kuheshimiwa ,,hata uyo mchepuko licha yakua anataka mahitaji kwamwanamme bado anaitaji uyo mwanamme amuheshimu saaana nahata ikiwezekana amfanye nyumba ndogo.
Sasa wote wanaokuambia kua mumeo amefanya dili na mchepuko ili aandike izo status SIO KWELI NA NIAINA YA WATU AMBAO UKIFUATILIA SANA WAO NI;---
watembeaji wazuri Wa waume zawatu +single maza 100% .
Sasa watu waaina hiyo siku zote huwaga ningumj kwao kukubaliana naukweli wamambo !!.
Ila take it from me ,Mumeo anakupenda sanaaaaa ,, nakweli ameachana nahuyo mwanamke , nandio maana unaona Moshi unamfukuta huko huko.
Wangekua wamepanga ,ungeona wanatulia tuuu, wala asingeweka status ya Wasap ili hali anajua kila MTU anaiona ,awe ndugu ,rafiki ,jamaa, n.k
Kwaiyo kaiweka ili mradi tu, Afikishe ujumbe kwa mumeo ,,hapa anatafuta huruma.
Lkn pia kaiweka ili kujilaumu Moyo wake sababu mategemeo yake yameenda visivyo !!.
NIKUPE HONGERA KWA UJASIRI WAKO WA KUPIGANIA NDOA YAKO NA MUMEO , NA NIKUHAKIKISHIE KITU KIMOJA ,ENDELEA KUA IVO IVO !!.
Mke wa mtu sumu
Hakikaa ,, wewe ndo unamjua mume wako vzur ,, ninachokiona niwatu wanaojaribu kukutia hofu nawasiwasi tu ,LAKINJ ukitumia akili naukaanza kuwa classify utajikuta niwapo ktk makundi mawili hayo nilokuambia !!.Nashukuru sana mkuu. Yaani wewe umenielewa asilimia 100. Mme wangu sio mshabiki wa watsapp profile. Nnachoamini ibilisi ameaibika, wafuasi wake wanajaribu kumtetea kwa nguvu..
Mambo mengine unajiaminisha tu maana hamna namna mama.hhahahah unaweza taman kusonya !dah ! bora lakini kuwa km huyu kuamini tu !utafanyeje sasa
shemeji em achana na haya mawazo hasi kutoka kwa walio jikatia tamaa...Nnauhakika wameachana.