Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

uzuri kama uko kwenye ndoa yenye upendo vikitokea vijimambo ni rahisi kuvi handle. Aihitaji nguvu
mie niko kwenye ndoa mwaya ! amani tele !nishakuwa mhenga!
mie ht kumuuliza nisingemuuliza !umeona tulipopishana na ww eh?
neva kugombana na men kisa mwanamke wa nje !aku !dunia ilivyo nzuri namna hii!hongera
 
Akirudi unamwambia pole na kazi
Safisha vizuri rungu hiyo tusile makombo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yaan mie nipo tofaut !sema zaman nilikua naumia nalia km kipaka kilichokosa maziwa !nilipokuja jua wanaume hawapend kufatiliwa nikakaa na kulea wanangu ! maan utandanganywa tu ! akirud akinisalimia dogo vipi !namjibu safi dogo ! nalala!
 
Umeona eeeh
Hamna haja ya kujiumiza moyo.
Wanasema play yo part and let him play his part.
 
mie niko kwenye ndoa mwaya ! amani tele !nishakuwa mhenga!
mie ht kumuuliza nisingemuuliza !umeona tulipopishana na ww eh?
neva kugombana na men kisa mwanamke wa nje !aku !dunia ilivyo nzuri namna hii!hongera
hongera nkima safi sana. Ndo maana nimesema kwenye uzi wangu sijagombana nae Ilala niliongea nae kwa hekima ingawa nlimuonesha jins gan nimehuzunishwa na kukasirishwa sana. Kikubwa akanishukuru kwa kumlinda
 
hahha kweli nyie mko dunia ya mabali !alichoongea Kitumburee ni kweli zaid ya 100% kuna mdada mmoja yupo hapa mjini !nguo zooooote za watoto wa mume wake ananunua yeye had mashuka ! narudia tena nguo zote za watoto wa mume wake had mashuka anapewa hela ananunua mume anazipitia jion dukan kwake anazipeleka hom ! shopping ndogo ndogo zote shost anafanya ! acha kbs !had simu anayotumia mkewe mchepuko ulienda dar kununua !upo?
Hapo kuna hali ya hatari in the long run
 
yaan mie nipo tofaut !sema zaman nilikua naumia nalia km kipaka kilichokosa maziwa !nilipokuja jua wanaume hawapend kufatiliwa nikakaa na kulea wanangu ! maan utandanganywa tu ! akirud akinisalimia dogo vipi !namjibu safi dogo ! nalala!
Ni hatari kwa afya ya ndoa yenu. Lkn pia unajiwekea mazingira mazuri ya kuchepuka coz utaona mbona hata yeye anachepuka!? Hutajisikia kuhukumiwa nafsini mwako...
 
Umeona eeee umenena ndugu hadi waamue wenyewe Kwan status ndio ndio inasex? Kuna mdada alishapelekwa hadi dawat la jinsia ili kuachanishwa ila wakitoka pale mambo yanazidi kuwa motrooooo penzi linachipuka upyaaaa
Mi niliwahi kuwa na jimama,lilipelekwa hadi mahakamani na wazazi wangu ili liniache,tukitoka kizimbani tu haooo gest! Tuliachana wenyewe tu! Kutuachanisha walishindwa
 
Mkuu , naomba tu nikushauri kuwa ( Usitukane Mamba kable hujavuka Mto😉 Kwa unavyoongea ndoa yako bado mbich na Changa kikubwa jiangalie pale ulipokuwa na mapungufu yaliyopelekea yeye kuwa na Mchepuko upajaze na pajazike hasa ili iwe kweli ametoka moja kwa Moja... Kumbuka Mwanamke akimtaka mwanaume hashindwi kwa hiyo ukianza kuleta vijembe mapema huwezi jua Mbinu Mpya.. Kingine kumbuka hakuna Mwanaume Mjanja mbele ya mwanamke yeyote Duniani. Kwa hiyo Maadamu umeona anaelekea kujutia Makosa yake kisiwe kigezo cha Kuwadhihaki Nyumba Ndogo au Mchepuko?

Kikubwa ungejiuliza Kwa nini alikuwa na Huyo Mchepuko ? Walikutanaje? Kitu Gani kilichomvutia kwa huyo unayemuita Mchepuko? Kwa Hiyo Ugomvi wao ni Kwa kuwa anamuomba hela ya Matumizi? Je kama asingekuwa anamuomba ungejua? Unajuaje hizo status za Whatsapp nizakukuhadaa wewe usiendelee kumfuatilia?

Mama narudia Usitukane Mamba kabla hujavuka Mto.. Hakuna Kiumbe cha kuwa nacho kwa Uangalifu Kama hawa Viumbe ambao ni Zao za Mbavu za Mwanaume.

Ni hayo tu, Kuna wengine wanasema Tema Mate Chini.. Hayo yote ni Maneno ya Wahenga ambayo ya Maana Kubwa sana..

Ni hayo tu Mkuu Nakutakia Ijumaa Njema....
We muache tu ajikute kumuona mumewe malaika as if huyo anayemuita mchepuko alijitongoza.We shukuru tu umepewa heshima ya kuwa mke lakini kuanza kumdhihaki huyo dada na kumuona mumeo mwema si vizuri au labda hajawahi ona kuna familia mwisho wa siku ule ulioita mchepuko ndo unakuwa mke halali na uliyekuwa ukiitwa mke ndo unabaki huna mbele na hichi na uthibitisho nacho kwa asilimia tisini cause imetokea kwenye familia yetu.
 
Kuachana sidhani kikubwa ni mume wako mvumilie tu wanaume wote wapo sawa baba mmoja na mama mmoja
Siyo kweli. Mm nakataa 100%
Tatizo nyie wanawake. Utakuta una mwanamke na umepanga kumuoa lkn analeta dharau, kejeli, hakushauri kuhusu kuongeza uchumi yy yupo yupo tu kwann usimkimbie? Mbali na hayo umeoa lkn mke anakufanyia visa vya maudhi kwann usiende nje? Yes! Japokuwa wanaume wa dizain hiyo wapo lkn usigeneralize.
 
We muache tu ajikute kumuona mumewe malaika as if huyo anayemuita mchepuko alijitongoza.We shukuru tu umepewa heshima ya kuwa mke lakini kuanza kumdhihaki huyo dada na kumuona mumeo mwema si vizuri au labda hajawahi ona kuna familia mwisho wa siku ule ulioita mchepuko ndo unakuwa mke halali na uliyekuwa ukiitwa mke ndo unabaki huna mbele na hichi na uthibitisho nacho kwa asilimia tisini cause imetokea kwenye familia yetu.
Si angeolewa na aliyemzalisha? Kimemshinda nini? Ndo maana amekuwa single mother kwa kuwa siku zote anatumika km kiburudisho na sio mke...
 
Siyo kweli. Mm nakataa 100%
Tatizo nyie wanawake. Utakuta una mwanamke na umepanga kumuoa lkn analeta dharau, kejeli, hakushauri kuhusu kuongeza uchumi yy yupo yupo tu kwann usimkimbie? Mbali na hayo umeoa lkn mke anakufanyia visa vya maudhi kwann usiende nje? Yes! Japokuwa wanaume wa dizain hiyo wapo lkn usigeneralize.
Well said Brother !!.
 
We muache tu ajikute kumuona mumewe malaika as if huyo anayemuita mchepuko alijitongoza.We shukuru tu umepewa heshima ya kuwa mke lakini kuanza kumdhihaki huyo dada na kumuona mumeo mwema si vizuri au labda hajawahi ona kuna familia mwisho wa siku ule ulioita mchepuko ndo unakuwa mke halali na uliyekuwa ukiitwa mke ndo unabaki huna mbele na hichi na uthibitisho nacho kwa asilimia tisini cause imetokea kwenye familia yetu.
Unapokua ni single maza ,, alafu still unachepukia mwanamme alooa nafamilia yake ,,, Izo sio akili nimatope yakufugia minyooooo...

Unless ,uwe unatafuta kuachanisha ndoa zawatu ,, kuhudumiwa ,,kupewa matumizi basi!!..

Nahuo niufala ,kwann usitafute maisha we mwenyewe ??.
 
Ndoa ndoa ndoaa, kila MTU ana lake kwenye ndoa! Hakuna tamu ya moja kwa moja isiyokwisha
 
Back
Top Bottom