Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

umeona status whatsapp tu ukajiridhisha moja kwa moja kua ameachana na mchepuko.
kama ameachana nae kweli thats is better. ila unatakiwa ujue ofkoz lazima atumie strategy za kukuonyesha kwamba ameachana na mchepuko ili kunusuru ndoa. mbaya zaidi michepuko wa siku hizi wengi wanajua nafasi zao, ukiwanae anakuuliza mkeo hajambo, watoto? anakusaidia kuwanunulia zawadi, anaweza kuchukua simu yako akakusaidia kumwandikia wife msg nzuri ya mapenzi, na mbaya zaidi anakupa mbinu za kumzuga wife ili asijue na wife akijua, mchepuko huyohuyuo atakupa strategies za kumlainisha wife akusamehe, inawezekana mchepuko ndio amemdraftia hizo status. my point is, fanya uchunguzi yakinifu, ndipo ujiridhishe. pia iombee ndoa yako
Mmmmh
 

hahha kweli nyie mko dunia ya mabali !alichoongea Kitumburee ni kweli zaid ya 100% kuna mdada mmoja yupo hapa mjini !nguo zooooote za watoto wa mume wake ananunua yeye had mashuka ! narudia tena nguo zote za watoto wa mume wake had mashuka anapewa hela ananunua mume anazipitia jion dukan kwake anazipeleka hom ! shopping ndogo ndogo zote shost anafanya ! acha kbs !had simu anayotumia mkewe mchepuko ulienda dar kununua !upo?
 
Not true...
Mi nikichepuka ni fantancy tu
hongera ! ila wanawake wengi huwa tunajisahau !kuna mdada mmoja anasemaga sipend hata kumsikia mume wangu akipumua(breathing) usku anahis kero na mzigo juu !huwa nacheka had machozi !yaan huyo ndo kurud hisia sio karne hii ! unabahati unajitambua !
 
hongera ! ila wanawake wengi huwa tunajisahau !kuna mdada mmoja anasemaga sipend hata kumsikia mume wangu akipumua(breathing) usku anahis kero na mzigo juu !huwa nacheka had machozi !yaan huyo ndo kurud hisia sio karne hii ! unabahati unajitambua !
Mie huko sijafika bado

Nikifikia tu nanawa mikono nabeba sandarusi langu narudi Newala.
 
Mwanumume akichepuka ni kwa sababu anachopata njee hakipati nyumbani.

Wake ni lazima muwe inventive na flezible in bed, na sio kila kukicha malalamiko mpaka kitandani. Wanaume ni rahisi kutawalika wao ni kama paka akishibishwa na kupapaswa kazi kweisha.

and vice versa is true! tena sisi hata hakuna nguvu sana kutudhibiti mkuu ! mlielewe hilo
 
Uyo anaweza ata status akaandika R.I.P .....kumbe anamaanisha Relationship is Peace
my ribs ! watu ma vijimambo !msimhuzunishe mwenzenu jaman !mtaambiwa ndoa zimewashinda !ohoo mara hamna ndoa !lol
 
Habari zenu wadau,

Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mme wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother. Alikuwa anajitahidi sn kumbembeleza mume wangu ili ampatie mahitaji mbalimbali kama kodi na ada ya mtoto wake.

So baada ya mie kugundua na kugombana na mme wangu (hapa niseme kujadiliana sijamtukana) kugombana kwa hekima, mume wangu alinibembeleza sana sio kwa kukiri moja kwa moja (wanaume hawaombi msamaha direct) akanishukuru kwa kumlinda na kanihakikishia mimi ndio chaguo la moyo wake kama ambavyo ameapa mbele ya Mungu.

Sasa basi huwa nafatilia status yake watsapp nikakuta anasikitikia mapenzi yamekufa. Akaja kuweka nyingine anasikitikia kuwa "mme wa mtu atakuchezea, atakugeuza na atafanya anavyotaka kisha atarudi kwa mkewe".Nilichogundua ni kuwa mume wangu kaachana na mchepuko wake.

Jamani michepuko mkiachwa msilalamike sana kwa kuwa nyinyi ni viburudisho tu, na ukimpata mume wa mtu usijione kuwa wewe ni zaidi sana ya mkewe.

NDOA NA IHESHIMIWE


Mungu akusaidie, Huyo Umegundua, na wengine usiogundua? Wanaume ni watu wa ajabu sana! Umeamua kumsamehe inatosha, mengine achana nayo!
 
Back
Top Bottom