Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,938
Hahahahahah Ndiyo Hapo halafu anampiga Mwanamke anayejachangia Kitwangio cha Mumewe? HahahaUnakolezwa na status?!
Hahahahahah Ndiyo Hapo halafu anampiga Mwanamke anayejachangia Kitwangio cha Mumewe? HahahaUnakolezwa na status?!
Hahahahahaaa!Hawara hana talaka.Hahahaaa wanaume wapi hao !
Hapo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Siku akikumbuka kiuno kama cha wacheza shoo wa Twanga pepeta
Anamtxt tu baby am back...huyu fala nimeshamtuliza njoo tujilie mema ya nchi...
Nyumba ndogo hawanaga hiyana
Na ni vema akaelewa kuwa sisi wanaume ni viumbe waaminifu na tuna huruma sana.Kuchepuka so kwamba simpendi "Mama Ngina" wangu,isipokuwa natoa huduma kwa wasionacho tu na kurudisha majeshi makao makuu ya chama na sirikale.Mume akichepuka hamaanishi hakupendi , yaan mpaka anakuoa we basi nikitoka ujue amechagua na ukachagulika !!.
Huko tunaendaga kusafisha rungu tu .
Sio kweli,mimi mbona siko hivyo..Kuachana sidhani mama na tena wana mtoto ndio kabisa kikubwa ni mume wako mvumilie tu wanaume wote wapo sawa baba mmoja na mama mmoja
Ingekuwa ndivyo unavyoamini na hauna doubt basi hata huu uzi usingefungua.Mme wangu anamaanisha.
Umeanza kuvujisha siri za watu were!Hahahahahahaaa!Huyo mume wako anaakili sana wallah....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu weka pichaSio kweli,mimi mbona siko hivyo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuuKumbe umeolewa?
Siungeniambiaga mapema kabisa kuliko kukubali likes zangu za mitego za kila napokuona Isimu?
Nakutumia pm...Ebu weka picha
Wanaume! Akili zenu mnazijua wenyewe. Likes tu kumbe INA tafsiri pana hivi.Embu acha nianze sikujua hii Mbinu Kuna Mmoja namuwinda acha nikamwage malikes ya post zake zote leo
Hata akipost pumba unampa
Sure.Nilichojifunza Hakuna ukweli wa hii Kauli...watu wanatofautiana kwa kweli
Ha ha ha ha acha kabisa acha nianze kuzotoa kwa fujo sa hvWanaume! Akili zenu mnazijua wenyewe. Likes tu kumbe INA tafsiri pana hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] kila LA heri mkuuHa ha ha ha acha kabisa acha nianze kuzotoa kwa fujo sa hv