Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

Hii kasumba ya kusema wanaume wote wako sawa baba yao ni mmoja na mama yao ni mmoja sidhani kama ina ukweli wowote
Lazima mjitetee lakini huo ndio ukweli hivi kwa mfano tu labda hasira anaamua kuachana na mumewe badae anakuja kupata mwanaume mwingine anakuja kuwa na tabia mara mbili za mumewe
 
Cousin wangu alipogundua kuwa mume wake ana cheat alimwambia wakapime ngoma kwanza kabla mechi hazijaanza.
 
Back
Top Bottom