mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,608
- 9,879
Mkuu hivi unatambua kuwa shule ya Makongo ipo ndani eneo la JWTZ!?Watekaji wakamlazimisha kuingia Kwa gari akawa mateka..
Halafu akaendesha gari peke yake huku wanamfata??
Je! Unafikiri kuwa hao washukiwa wangaliweza kumchukua peke yake na kulitelekeza gari lake katika eneo hilo la Lugalo?
Kitu kingine cha kufikirisha ni kuhusu uthubutu wao wa kumpiga mtu wakiwa katika eneo hilo nyeti la kiusalama.