Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 619
- 1,570
Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine!
Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa uwanjani na timu yake ni vitu viwili tofauti, Licha ya kubebwa kwa mbeleko ya refa mpaka kwenda kwenye matuta ambayo ayanaga mwenyewe bado singida ni kama vile imeshinda mechi kwa maana walikuwa bora sana kiufundi, waliwazidi simba kila idara, counter attack zao ndio zilikosa wachezaji wenye uzoefu wa kumalizia kazi lakini walitengeneza nafasi 2 ambazo wangekuwa makini walikuwa wanamaliza mchezo mapema sana!
Na hiyo ni ngao ya jamii na vipi kama ingekuwa ni ligi kuu ina maana simba alikuwa kadondosha alama 2 tiyali kwa sare, mechi ya jana ni call up wanatakiwa waifanyie kazi ya kwamba watakutana na timu nyingi ngumu kwenye ligi aina ya singida, na bado ujaweka mashindano ya klabu bingwa, na super league ndio utaenda na perfomance ya aina hii uwezi kutoboa popote.
Kama umeshindwa kuwafungua singida na kutengeneza nafasi za kufunga utaweza kuifungua timu gani? Labda mashujaa na Tabora United.
Nimeangalia mpira dk 90 lakini sijaona nafasi yoyote ya kufunga waliyotengeneza simba, zaidi ya kina baleke kuwa watalii uwanjani!
Wenye mapovu wafia timu ni ruksa kuyatoa but uhalisia wa timu yenu ndio huo, mpira unachezwa hadharani na sio chumbani kila mtu anaona, Ahmed Ally atetee ugali wake lakini anawapa wakati mgumu Sana mashabiki wao na wanachama maana wanachoaminishwa ni kingine na kinachotokea uwanjani ni kingine!