ahhhh! this is unfair !!

ahhhh! this is unfair !!

mh mijitu mingine kwa kurudisha mada nyuma sasa shekh yahya hapo kaingiaje au ndo na wewe ilimradi uongee tuu ovvyooooo
Hamuwezi kufanya kitu bila ya kufikiria uchawi; ndio maana hamuendelei!! Marehemu Sheikh wenu Yahaya aliwaharibu.
 
mji upo kimyaaaaaa, fresh sana...messi ni noma, ameutuliza mji, sifa sifa za wale jamaa zetu hamna tena...ha ha ha wapi clouds fm (kina kibonde) wapi channel ten, hata jezi za man u mtaani sizioni nyingi kuvaliwa... yani hadi bosi wao fagasoni alikuwa anatetemeka baada ya lile goli la messi

Niliwahi kimsikia Kibonde akiisifia Man as if hayuko redioni,anaongea kishabiki kile cha kijiweni,nilishangaa sana.SASA KIMYAAA......,kwa pasi 100.Kuna jamaa yangu wa karibu hajawahi kukea wala kujibu sms zangu na e-mail,nimemwacha asijinyonge maana ni mnyalu....
 
Wenger he compared him with a play station player..........he is a soccer legent...at early age of his carrier

Hapo kwenye red nadhani ulikuwa unamaanisha "Soccer Legend"..,sio mbaya lakini bora maisha yanaendelea kwani Manutd si wakwanza kufungwa kwenye fainali na wala hawatokuwa wa mwisho.
 
Wenger he compared him with a play station player..........he is a soccer legent...at early age of his carrier

huyu mzee .. wala asiongee! asipofanya usajili wa maana ataniudhi sana!..
 
Wenger he compared him with a play station player..........he is a soccer legent...at early age of his carrier

Hapo kwenye red nadhani ulikuwa unamaanisha "Soccer Legend"..,sio mbaya lakini bora maisha yanaendelea kwani Manutd si wakwanza kufungwa kwenye fainali na wala hawatokuwa wa mwisho.

haha mkuu sure man UTD Sio wa kwanza.. kinachofanya ile mechi imekuwa gumzo MAN UTD they were out played .. sio man u wale tuliowazoea :biggrin1:
 
Pamoja na kwamba walikua sita, bado aliteleza

dogo pambaf sana huyu, anadhalilisha sana mabeki
Kwa vyovyote vile, na kubali kusahihishwa, hakika ww ni mdau wa mashetani wekundu
 
Hapo kwenye red nadhani ulikuwa unamaanisha "Soccer Legend"..,sio mbaya lakini bora maisha yanaendelea kwani Manutd si wakwanza kufungwa kwenye fainali na wala hawatokuwa wa mwisho.

Na wala haitakuwa mara yao ya mwisho kufungwa na Barca! hahahahahahaha
 
Nina mengi ya kusema katika mtanange ule lakini tatizo baba mkwe wangu ni shabiki wa Man U na mahari sijamalizia naogopa kunyang'anywa mke na umri wote huu!
 
Ahsante sana Messi........Angalau kaunta baa tunakaa kwa utulivu
 
ha ha ha football made in spain! haichakachuliki kichina,
 
FERGIE alichanganyikiwa alipoona PUYOL hayupo ktk 1st eleven.maana ungekua ni uchochoro!duuh soda yangu ya sh 2500 samaki bar ilienda kihalali
 
Ahsante sana Messi........Angalau kaunta baa tunakaa kwa utulivu

Maana hata kuja hawaji,wakija lazima wawe wapole sana.Asante kijana Messi kwa kuutendea haki mpira wa miguu.
 
MEssi yuko juu sana. HUWA NAWADHARAU SANA WANAOMFANANISHA MESSI NA ROONEY(NGURUWE WA KIDHUNGU)
 
Duh! sijui mtatulia lini mtuache tupumzike kwa amani??!,lakini msimu ujao mnaoingia Champions' League mjiandae...isije ikawa zamu yetu kufungua sredi..
 
Amenisaidia kurudiana na demu wangu wa zamani, thanx Messi!
 
Ferguson alitafuna BIG G box kumi na tano.
 
Wenger he compared him with a play station player..........he is a soccer legent...at early age of his carrier

Natoa angalizo tu, usije ukakata tamaa ,naku-encourage. Kwa mfano, hapa ukishaparekebisha ndiyo utakuwa umejjifunza milele!
 
Duh! sijui mtatulia lini mtuache tupumzike kwa amani??!,lakini msimu ujao mnaoingia Champions' League mjiandae...isije ikawa zamu yetu kufungua sredi..

hahaha mkuu na myie mkianza kufunga thread mbona tutakoma! ...
 
Nashukuru walifungwa kihalali na wamekiri kuzidiwa kabisa kimchezo siku ile. refa naye aliumudu mchezo vizuri hivyo kuanzia kocha wao hakuwa na mlango wa kutokea kuwa please mashabiki wake maana wamezoea wakifungwa mara refa alitunyima penalti yetu pale na mengineyo. Barca oyeeeeee, umetuweka huru kama bwana Yesu asemavyo ukiijua kweli itawaweka huru kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom