ahhhh! this is unfair !!

ahhhh! this is unfair !!

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
............................................................................Messi vs 6 manutd players

246854_1728541978668_1392001089_1445046_2089705_n.jpg
 
Duh kaba yote hiyo lakini jamaa aliwatoka tu huyu dogo sijui mchawi?
 
Barcelona nuksi...wametusababishia shida sana mtaani juzi...tumepata usumbufu uzio wa lazima kupeleka watu walioshindwa kukubaliana na hali halisi hospital
 
Jamani huyu Mesi mbona kombe la dunia kule bondeni alikuwa butu!
 
Ameleta utulivu mtaani wiki hii.Twamshukuru sana.

mji upo kimyaaaaaa, fresh sana...messi ni noma, ameutuliza mji, sifa sifa za wale jamaa zetu hamna tena...ha ha ha wapi clouds fm (kina kibonde) wapi channel ten, hata jezi za man u mtaani sizioni nyingi kuvaliwa... yani hadi bosi wao fagasoni alikuwa anatetemeka baada ya lile goli la messi
 
Jamani huyu Mesi mbona kombe la dunia kule bondeni alikuwa butu!

Kombe la dunia na club ni vitu viwili tofauti....angalia vifaa vilivyo barca na angalia vifaa vya argentina kwanza jana wamepigwa 4 na Nigeria
 
Kwa kweli messi katupunguzia adha ya ugonjwa wa moyo mtaani maana siku ile tusingelala kwa makelele yaani ashukuriwe sana.
 
Kombe la dunia na club ni vitu viwili tofauti....angalia vifaa vilivyo barca na angalia vifaa vya argentina kwanza jana wamepigwa 4 na Nigeria

Unajua wangapi walio katika timu ya barca walicheza world cup?
Je wajua wangapi walio katika barca walisoma football academy pamoja?
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: KIJANA NAONA HAUKO SIRIASI :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
thanks to messi maana ametuweza mambo mengine kuendelea kma
kawaida maana hawa mashabik wa man u wana kelele sana
 
Pamoja na kwamba walikua sita, bado aliteleza

dogo pambaf sana huyu, anadhalilisha sana mabeki
 
kijana noma
nilipata kreti yangu ya beer kwa mashabiki wa manU:bange:
 
............................................................................Messi vs 6 manutd players

View attachment 31397

Jamani mimi kabisa mpira sijui, na wala siyo mshabiki (faida/hasara ya kukulia kijijini). Lakini kwa logic ya kawaida kabisa ambayo haihitaji hata uwe mshabiki au mjuzi wa mambo ya mpira, hapa inaonyesha kabisa vijana wa Man U walikuwa wanateseka
!
 
Wenger he compared him with a play station player..........he is a soccer legent...at early age of his carrier
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom