Ahadi za picha za yule kaka

Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka

Cha kukusaidia tu,anaitwa MONEY stunna.
note: zile ni picha za kugoogle, sasa wewe endelee kudandia treni la mwakiyembe kwa mbele.!!
 
Last edited by a moderator:

apo kwenye red sina muda wa kubishana na wewe,kama uhamini unaacha sijalazimisha mtu kuamini na inasikitisha unakana siyo mimi wakat ni mimi au kwa vile ni mtanashati,ningeweka niko kama waziiri wako mkuu ungeamini,wabongo bhana!!!
 
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka

wewe si ndo Money Stunna ? ni yule yule tu full promo
 
Last edited by a moderator:
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka

hii nayo kali. haya tutawaambia
 
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka

Huyo hatakiwi kanda ya Ziwa. Si unajua tena imani za watu kule wanasaka watu kama huyu
 
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka

Hahhahahahhah chezea shombe shombe eeeh.... Money Stunna njoo huku utamuua mtoto wa watu...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha afadhali ya kuku....jogoo hasa

Wanawake ndo maana tunato.....mb....w..a na kutemwa....... !! Picha zenyewe sijui zimetolewa online ila mtu anasema akiziona amekufa ameoza si ni matatizo haya? Bei na heshima yetu inazidi kushuka kwa mtindo huu
 
hahahaaa halafu huyu si ndo alisema ana kaugonjwa fulani hivi..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom