Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Last edited by a moderator:
usijikabang bafuni dada bnyanyaJaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...
Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...
Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...
Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.
Nikimuona tu roho yangu inalauka
Money Stunna uko wapi!!!!!!!!!!11
nenda jamii photos ukaendelee kufurahia uumbaji wake Mola
link ya uzi hii hapa https://www.jamiiforums.com/jamii-p...-yangu-kama-nilivyohaidi-kuiweka-wik-hii.html
kama ananizungumzia mimi mbona nilishatupia picha
ndio wewe..............umeona ujumbe wa picha tu mwingine hujauona!!!!!!!
Tukutane yaeda chini nikupatie:cell:
Nasubiria za kwako ili nami nijipendelee
hahahaaa za kwangu nakutumia fasta.......kule wozap kule
Msalimie....shem !!Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...
Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...
Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...
Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.
Nikimuona tu roho yangu inalauka

Heaven on Earth we mwache tu huyu babu amwage ugali, mimi ntamwaga mboga soon.
Heaven on Earth we mwache tu huyu babu amwage ugali, mimi ntamwaga mboga soon.