Ahadi za picha za yule kaka

unajuaje kama ni zake au kagoogle? usiwe naive na kuamini kila unachokiona vingine ni fiksi mjini hapa...
 
We cheza tu na JF watu wana ukame watakuto....alafu ije igeuke mada humu. Endekeza nye....ge zitakufikisha pabaya
 
Mhhhhh...
Naona wanaume ndo wabane mapaja siku hizi, lol...manake usipoangalia kila siku utawafikisha wanawake tofauti huko everest!
 
jamani..na wao ni kama sisi.... huwa wana m feel mtu na wanajimalizia wenyewe..just go girl!gudluck ila usipige sana kelele ukatusumbua
 
Back
Top Bottom