Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Ag mbaguzi wa jinsia
Utani kwenye mada serious na wakati anatoa hoja?si inaingia kwenye hansard?ule ni udhalilishaji...!!
Jaji werema kamdhalilisha Mbunge wa kawe Mh Halima Mdee pia na wapiga kura wa kawe!
Amuombe radhi mdee na wapiga kura wake! Sitaki kuamini werema ni jaji uchwara anayetumia "masaburi" kufikiria.
Udhalilishaji wa KIJINSIA sio lazima hadi MTU apigwe, KWA kweli amedhalilisha wanawake wote wakiwemo na mabinti zake
Joshua nasari na Halima Mdee hivi ile ndoa yenu vipi tena? Au mmehairisha
Hata mimi simuelewi huyu mtu.may be dualsex
Kwanza ni vema nikusahihishe kidogo, mdee alisema hivi kama mfumo uliopo hautabadilika yeye na chama chake chadema watakwenda kumwaga sumu kwa wananchi sikujua sumu alimaanisha nii.[/QUOTE
Ni kweli kabisa mkuu ,
huyu Bro Mdee alisema wataenda kumwaga sumu,lkn Prf.BEREGU kawalegeza.
Nafasi yake imechukuliwa na Esther Bulaya.
yoote heri