kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Nimekutana na rafiki yangu leo asubuhi huku akiwa na bashasha jingi usoni. Nikataka kufahamu, kulikoni. Akanieleza shemeji yako wiki iliopita kutwa alikuwa anakichefuchefu sasa tumetoka hospital leo. Ndoa imejibu.
Ndoa kutokujibu kwa kweli ilikuwa shubiri katika familia hii. Binadamu sio watu wema, hasa mawifi. Lakini rafiki yangu na mkewe waliziba masikio. Jamaa alipiga mikuki mwaka wa kwanza hola, pili hola, tatu hola, nne hola, tano hola, sita hola. Mikuki aikuwa na shabaha.
Mwaka huu mwanzoni nilimshauri, ale vyakula vya asili itamsaidia kurutubisha mbegu zake. Atleast kwa week ale siku nne karanga mbichi za kutosha, mboga zote za majani z ichanganywe na karanga mbichi, aachane kabisa na vyakula vya machemicals. Leo hii jamaa yupo na furaha sana na hata kuiweka picha ya wife wake kwa screen ya simu yake akisababisha mambo ya mwanamke akiwa mjamzito.
Jamani mlio katika tatizo hili, msikate tamaa. Kuleni sana karanga mbichi na ikishindikana zichangeni pesa mtumie njia ya kupandikiza ambayo ni rahisi sana.