After seven years hatimaye ndoa imejibu.

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Nimekutana na rafiki yangu leo asubuhi huku akiwa na bashasha jingi usoni. Nikataka kufahamu, kulikoni. Akanieleza shemeji yako wiki iliopita kutwa alikuwa anakichefuchefu sasa tumetoka hospital leo. Ndoa imejibu.

Ndoa kutokujibu kwa kweli ilikuwa shubiri katika familia hii. Binadamu sio watu wema, hasa mawifi. Lakini rafiki yangu na mkewe waliziba masikio. Jamaa alipiga mikuki mwaka wa kwanza hola, pili hola, tatu hola, nne hola, tano hola, sita hola. Mikuki aikuwa na shabaha.

Mwaka huu mwanzoni nilimshauri, ale vyakula vya asili itamsaidia kurutubisha mbegu zake. Atleast kwa week ale siku nne karanga mbichi za kutosha, mboga zote za majani z ichanganywe na karanga mbichi, aachane kabisa na vyakula vya machemicals. Leo hii jamaa yupo na furaha sana na hata kuiweka picha ya wife wake kwa screen ya simu yake akisababisha mambo ya mwanamke akiwa mjamzito.

Jamani mlio katika tatizo hili, msikate tamaa. Kuleni sana karanga mbichi na ikishindikana zichangeni pesa mtumie njia ya kupandikiza ambayo ni rahisi sana.
 
Hongera !

Swali, adoption ni option Bongo?

nina rafiki yangu alizaaga na director wa chuo fulani wakati twasoma! ameolewa 2001, akabeba mimba ya huyo jamaa 2008, lakini mumewe yupo tu, yaani wapo tu hapo ndani na huwa sielewi kama ni ukweli yule baba hajui kuwa mtoto si wake, au ni kupretend anapretend kuficha aibu, tena mtoto ni copy director, lol! ndoa hizi, zina kazi kwa kweli! hongera kwao nways!
 
Ila wanawake nao

Ndo kama alivyokuwa anasema Joti, mme mfupiii wee unapiga chepuo na Hashim Thabiti

Afu unakuja na tabasamu, ndoa imejibiwa na karanga na korosho??

ila wengine ni kweli MUNGU anakuwa amewapa mtihani tu, na baada ya muda anawazawadia mtoto, ila wengi ni UONGOOOO, wanagongwa nje, wanakuja kuwadanganya waume zao watoto ni wao, kazi ipo wallahi!
 
zamani wazazi ndo walisaidia kuficha aibu hasa kama mwanaume harushi risasi mbali,baba alikuja kumwokoa ila siku hizi za JK,,,wizi mtupu,unakuta watoto wanafanana na wafanyakazi wa mkeo tu! na wanaofanana ndio wanakuwa mabesti zako na kujibatiza ma-uncle...ptuuuh
 
labda alimuomba mkewe amsitiri...si unajua ukiwa huna cha kupoteza
 
He he he, mie nina uhakika aisee
Kopiraiti mzee mwenyewe

Na sie kwetu tuna Identity ya mzee, ukiikosa hiyo lazima uanze kutafakuri

Aaaa, banae, hizi mambo hazitabiriki... hata mi na wewe tukienda leo usishangae sio watoto wa baba zetu lol
 
ila wengine ni kweli MUNGU anakuwa amewapa mtihani tu, na baada ya muda anawazawadia mtoto, ila wengi ni UONGOOOO, wanagongwa nje, wanakuja kuwadanganya waume zao watoto ni wao, kazi ipo wallahi!
Wapo ambao wanavuka mitihani kwa kweli

Kwa heshima na taadhima Kongosho nakuomba udelete post hii.

Huko sasa unataka kutibua furaha ya watu!

Kitanda hakizai haramu

wewe una akili sana...hivi ulizaliwa wakati gani vile

Nina Phd ya maisha ya kitaa
 
Hongera yake, ila baada ya kujifungua si vibaya wakacheki na DNA ili kuwa na uhakika kabisa, ingawa ni zoezi gumu!
 
Mama yeyoo alipopata ujauzito,nikachukua blood roup yake,na yangu,nikafanya a lay man genetics combination,nikazijua probabilities......lakini siku niliiona sura...loooh...kopi raiti kabisa na mdau mwenyewe...!!!Hata nilipokuja ku test zile probabilities zikakubali.....
 
zamani wazazi ndo walisaidia kuficha aibu hasa kama mwanaume harushi risasi mbali,baba alikuja kumwokoa ila siku hizi za JK,,,wizi mtupu,unakuta watoto wanafanana na wafanyakazi wa mkeo tu! na wanaofanana ndio wanakuwa mabesti zako na kujibatiza ma-uncle...ptuuuh

hata wadogo wa mwanaume walihusika. Sema wadada nao walikuwa wasiri sana, kwani mdada wa leo atakuacha? Si atakutangazia we mwanaume suruali tu?
 
Ajiulize Swali; Kwanin hakupata mtoto kwa miaka sita yote iliyopita?! Kama majibu sio ya kulidhisha, bas ajue wajanja wamemsaidia. DNA test muhim sana hapo, kabla hajaletewa wa pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom