After seven years hatimaye ndoa imejibu.

After seven years hatimaye ndoa imejibu.

Inawezekana miaka hiyo saba jamaa ana watoto watatu nje!!! go figure
 
Hongera !

Swali, adoption ni option Bongo?

uwiii tena usijaribu, wabongo mtu akiwa na vitu vya kujimudu kimaisha kila mtu macho hapo hapo, nyumba uliyojenga gari na samani za ndani zinangojewa na wajomba, wababa wadogo, kaka na dada zako, wanakuwa radhi kumzulumu hata mke uliechuma nae sikwambii hata watoto utakaojaaliwa kupata, sasa kama hao wote waanangojea mali zako hivi pata picha ukiadopt mtoto halafu siku ukifa nani atamtaka huyo mtoto? mtaache wamfukuze iwe ni chanzo cha uchokoraa kwa bongo bado ustaaarabu huo haujazoeleweka hata kidogo:shut-mouth:
 
Furaha ya nyumba mtoto. Furaha ya mtoto DNA. DNA ndo Mpango. Juzi nilisikia story flani CLOUDS Fm, dada flani anaitwa SARA wanaume wa3 wote mimba yao.

Hebu kama una katoto home kaangalie vizuri leo.
 
aende kwenye dna ye mjinga?

ni,echekaa sana leo aiseee habari zako kaka yangu aisee cha kwanza niliwaza kama Kongosho na inawezekana ikawa kweli aombe mungu isiwe mbegu ya mzungu,mchina ,mlatino ,mwarabu ataumbukajeeee kwa asilimia kbwa mtoto sio waake heheheheheheheh ila mtoa mada usilogwe utamke haya utaiona dunia chungu ndugu yangu lol kwamtoro chunga domo lako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Usiogopo kitanda hakizai haramu!! DNA ya nini Bwana?
 
chombo kibaya nadhani tusipende kuwa na negative thoughts katika hili hasa kwa wanawake, mbona jamaa anadai kala sana karanga na korosho ndo mkuki umechoma penyewe? In this case, mwanaume alikuwa na tatizo bana na kama mke angekuwa anataka mumewe asaidiwe nakwambia mwaka wa 2 au 3 tu angeshika mimba.
hata biblia imeandika ishini na wake zenu kwa akili unatujua unatusikia??????????
 
uwiii tena usijaribu, wabongo mtu akiwa na vitu vya kujimudu kimaisha kila mtu macho hapo hapo, nyumba uliyojenga gari na samani za ndani zinangojewa na wajomba, wababa wadogo, kaka na dada zako, wanakuwa radhi kumzulumu hata mke uliechuma nae sikwambii hata watoto utakaojaaliwa kupata, sasa kama hao wote waanangojea mali zako hivi pata picha ukiadopt mtoto halafu siku ukifa nani atamtaka huyo mtoto? mtaache wamfukuze iwe ni chanzo cha uchokoraa kwa bongo bado ustaaarabu huo haujazoeleweka hata kidogo:shut-mouth:

Tatizo TZ stil bado tunapambana na maradhi, ujinga & umasikini. Watu awandiki mirathi wakifiri wanakibali cha kuishi milele. Dunia ya leo yatupasa kuwa na wanasheri wetu, madaktari wetu. Sana sana tumejitaidi tuna mafundi magari na nyumba zetu. Wenye uwezo, naomba muhasili watoto na muweke kisheria zaidi.
 
Lakini mijitu ya humu sijui ikoje
hivi hamjui kuoa au kuolewa sheria?ila kuzaa ni majaliwa??
Mi naona huyo jamaa na mkewe waombe mungu mtoto azaliwe salama
my friend miaka 9 mkewe hakushika mimba mpaka wakafikiria artificial insermination wakiwa kwenye process hizo mke akashika mimba kwa njia ya kawaida
kaja kushika mimba mwaka jana bado wiki 2 mtoto azaliwe mtoto akafia tumboni
unaweza ukahisi wapo kwenye kipindi gani
so na yeye waombe sana Mungu azae salama na mtoto akue
hayo habari ya DNA wayaache kabisa
hakyamungu kuna watu humu wakiletewa kesi badala ya kusolve wao watachochea moto
 
ni,echekaa sana leo aiseee habari zako kaka yangu aisee cha kwanza niliwaza kama Kongosho na inawezekana ikawa kweli aombe mungu isiwe mbegu ya mzungu,mchina ,mlatino ,mwarabu ataumbukajeeee kwa asilimia kbwa mtoto sio waake heheheheheheheh ila mtoa mada usilogwe utamke haya utaiona dunia chungu ndugu yangu lol kwamtoro chunga domo lako mkuu

Hawako careless kiasi hicho... wanawake (ala, kumbe hata wewe mmoja wao!!!)... Na ujue katika hilo wanaume wengi huwashukuru sana kimoyomoyo wake zao kwa 'kuwafichia aibu'...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom