wewe mama hauishi vituko.Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
Jamani DNA ya nini tena mtaharibu furaha yote ya ndoa, tena mie mtu akianza haya maneno ya DNA ananitafish nafsi yangu! nahisi kama huniamini.
Mama yeyoo alipopata ujauzito,nikachukua blood roup yake,na yangu,nikafanya a lay man genetics combination,nikazijua probabilities......lakini siku niliiona sura...loooh...kopi raiti kabisa na mdau mwenyewe...!!!Hata nilipokuja ku test zile probabilities zikakubali.....
Okay, kumbe kaamua kujidanganya??
Hapo sawa.
Ulikuwa na Wasiwasi Mwabulambo?
Hapana dada angu,it was just check and balance.......lol
Usimwamshe aliyelala bana.....! Acha jamaa na yeye afurahie maisha, tabu za nini?Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
Ajiulize Swali; Kwanin hakupata mtoto kwa miaka sita yote iliyopita?! Kama majibu sio ya kulidhisha, bas ajue wajanja wamemsaidia. DNA test muhim sana hapo, kabla hajaletewa wa pili.
Usimwamshe aliyelala bana.....! Acha jamaa na yeye afurahie maisha, tabu za nini?
Hongera yake, ila baada ya kujifungua si vibaya wakacheki na DNA ili kuwa na uhakika kabisa, ingawa ni zoezi gumu!
nina rafiki yangu alizaaga na director wa chuo fulani wakati twasoma! ameolewa 2001, akabeba mimba ya huyo jamaa 2008, lakini mumewe yupo tu, yaani wapo tu hapo ndani na huwa sielewi kama ni ukweli yule baba hajui kuwa mtoto si wake, au ni kupretend anapretend kuficha aibu, tena mtoto ni copy director, lol! ndoa hizi, zina kazi kwa kweli! hongera kwao nways!
Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
Tumpunguzie mzigo kwani hata zamani wazee wakigundua kijana wao hawezi kumeza walimshauri mama apewe lau na mdogo wake ili kuondoa aibu katika familia ila vijana wa kileo tunajidai tuna true love kuachia ndugu mke bora mke ajiibie mwenyewe
nina rafiki yangu alizaaga na director wa chuo fulani wakati twasoma! ameolewa 2001, akabeba mimba ya huyo jamaa 2008, lakini mumewe yupo tu, yaani wapo tu hapo ndani na huwa sielewi kama ni ukweli yule baba hajui kuwa mtoto si wake, au ni kupretend anapretend kuficha aibu, tena mtoto ni copy director, lol! ndoa hizi, zina kazi kwa kweli! hongera kwao nways!
Adoption ni muhimu sana, nikiwa na Toto kichwa maji kama Le Mutuz ni kwa nini nisi adopt mtoto mwingine?Hongera !
Swali, adoption ni option Bongo?
Ati nini?
heheheheh! mtalijua jiji. Kwenu kelel mingi, nakupenda nifanyeje? Nabutua nje naleta mtoto kukutoa aibu. Wanaume wenye akili zao wakiona hivyo wanakaa kimya, nyie wa nje ndiyo mnaleta ushauri nasaha!