Afroit forums ifungwe

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
AFROIT FORUMS imeshindwa kabisa kuendelea,kwani inapita hata mwezi hakuna jipya lililowekwa hivyo miminimeona haina haya ya kuwepo kwake kwani haina jipya katika ulimwengu huu wa IT...yani hata window 7 imetoka hakuna waliloweka......
me naona wenye site hiyo waifunge tu.
 
Kimsingi Technology sio W7 pekee,by the way Afroit ni kwa ajili ya watanzania wote na si forum ya mtu mmoja kaka,Lengo ni kupeana taaluma kwa kila mtu anayefahamu.
Hehehe,kama kawaida yetu watanzania ambapo kila mtu anamlaumu mwenzake,je nani mfanyaji??Mtoa hoja ameona hakuna W7 kwanini hakutoa maada ya window 7 badala ya kulaumu?

Ushauri:Tujifunze kutenda na sio kuongea.Afroit haitafungwa,kufa ama kuteteleshwa,just the matter of timing.Midomo itafungwa na wale wanaotenda na sio kuongea.

Afroit Admin
 
mimi nimechangia sana kwenye afroit lakini hata hao wenye hiyo site hawaonekani kusisitiza wana jamii ya IT kuleta maada hii inakatisha tamaa sana,huwa nakuona wewe kilongwe,ebu basi sisitizeni hao watu wa IT waigie kwenye site yao na sii kukaa kwenye computer zao na kuangalia picha zisizo husika maana watu wa IT inasemekana ndo tunaongoza kwa kuangalia hayo mambo..tukutane afroit...
 
Kilongwe wabongo vichwa vigumu sana wanajua sana kulaumu kuliko kutoa suluhisho la tatizo,msife moyo

Kinachotakiwa ni kui-advertise hiyo forum watu bado hawaifahamu
 
Ndugu pia jaribu kuandika makala zako uwe unaweka link na huko ili kupata watu wengi zaidi wajue kuna nini pia unaweza kuisajili afrigator.com kwa ajili ya updates za mara kwa mara
 
mimi nimechangia sana kwenye afroit lakini hata hao wenye hiyo site hawaonekani kusisitiza wana jamii ya it kuleta maada hii inakatisha tamaa sana,huwa nakuona wewe kilongwe,ebu basi sisitizeni hao watu wa it waigie kwenye site yao na sii kukaa kwenye computer zao na kuangalia picha zisizo husika maana watu wa it inasemekana ndo tunaongoza kwa kuangalia hayo mambo..tukutane afroit...

rafiki yangu lazima uwe unatazama mambo mbalimbali ili kuweza kujua nini kinaendelea ulimwenguni haswa kwenye masuala ya ulinzi na usalama vingi tunajaribu wenyewe kwenye tafiti mbalimbali ndio maana saa zingine mtu anaweza kuwa anaangalia huko kumbe kuna kitu anafanyia majaribio au anataka kuandika
 
Tunaomba contact zao jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!...................
 
Back
Top Bottom