Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Unasifia wengine tu
Huoni kama familia yetu ilishiriki kikamilifu juu ya hili tukio
Wala hutupaishi, wakati sie majirani wema

hahahahaahahahah
Kuhusu muda Tf alioenda kulala au muda alioamka
mi nimekataa kuingilia kwa kweli hahahahahahaha
Ni ngumu kusema alilala na ni ngumu kusema alikesha
kwa hiyo sijui kitu kabisa hahahahahhah..

samahani sana lawyer wangu TF ambadilika
kweli siku hizi ....

Hope your well tho.
umepotea kweli siku hizi..
 
Captain
bana ohhhhh
uminiingia kwa kweli
asante sana dear ...

:A S 465:


hahahahahah lol! Rubani mie sitii neno 🙂🙂 sasa kwa wanywaji wengine huwa tunapenda kuzimua kwa Togwa 🙂🙂 hivyo usisahau kuweka Togwa. Mie nitazuka mitaa hiyo nikishamaliza majukumu yangu ya siku ya leo 🙂🙂

HAPPY BIRTHDAY AD
 
hahahahahah lol! Rubani mie sitii neno 🙂🙂 sasa kwa wanywaji wengine huwa tunapenda kuzimua kwa Togwa 🙂🙂 hivyo usisahau kuweka Togwa. Mie nitazuka mitaa hiyo nikishamaliza majukumu yangu ya siku ya leo 🙂🙂

HAPPY BIRTHDAY AD
BAK Togwa umenikumbusha mbali kweli aisee
 
bullet.gif
Side by side or miles apart
True friends are always close to your heart
Whether you're turning five or fifty-three
You know that I'm a true friend because you're here beside me
I'm here, right now, on your special day
So lets give a cheer for you, hip, hip, hooray!

Happy BirthDay Friend, Afro D
 
TF nimechelewa nilikuwa ktk mishe mishe since morning, hebu nipe ratiba imekaaje nijipange
 
Kumbe nawe ni mpenzi? lol! Basi ngoja nimuagize Rubani aweke ya kutosha 🙂🙂...Togwa imekukumbusha wapi TF!?
Kipindi fulani wakati bado nasoma shule wakati tunafanya community service kuna mitaa tulipita tukakuta wanapika Togwa muda mrefu kweli umepita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom