Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Nakutakia baraka tele za Mwenyezi Mungu katika kuazimisha siku yako hii ya kuzaliwa, nitakuwepo kwa ajili ya 😛hoto:. Love u.
 
Nilimpa hela akanunue vinywaji kwa ajili ya wageni tokea jana ila hadi sasa hajarudi ngoja nipitie kule Tandale nikamcheki usikute tayari kaishaharibu huyu

Hii taarifa ni mbaya kuliko maelezo..

Tumepoteza fedha
Tumempoteza klorokwin
Tumepoteza pombe..
duuuuuhhhhhhhh

Mpe Nick kazi ya kuandaa sherehe basi...:tongue:
 
Hii taarifa ni mbaya kuliko maelezo..

Tumepoteza fedha
Tumempoteza klorokwin
Tumepoteza pombe..
duuuuuhhhhhhhh

Mpe Nick kazi ya kuandaa sherehe basi...:tongue:

AD huyo jamaa (TF) hatoniamini kamwe bora uchague mwingine
 
TF kashaanza mambo yake bana wivu kibao
Hataki hata niwasalimie
Au anatala nikitoa salam tuu then nikimbie nisibaki
Sasa hapo mpaka nipate ruhusa kutoka kwake

usimsikilize sana , atakuingia akilini...
( ukimaliza kusoma hii chana karatasi tafuna mwalimu asione):spy:
 
Nakutakia baraka tele za Mwenyezi Mungu katika kuazimisha siku yako hii ya kuzaliwa, nitakuwepo kwa ajili ya 😛hoto:. Love u.

Asante sana Kbd..
Nashukuru zaidi kwa kujitolea..
bado tunamsubiri TF atoe timetable kamili..
Be blesses dear .. 🙂
 
yaaaaaaammm
Chocolate is a girls best friend...

asante sana dear ... Hizo zinatosha kabisa kwa wiki ..
sante sana dear ...Na nina kumbuka mwaka jana ni wewe
ulinirushia uzi kama huu .. asante sana mamitoo..
😛oa

uwe na wakati mzuri sana leo....
TF ameniwahi....hata huo muda aliorusha si umeuona......

TF kashaanza mambo yake bana wivu kibao
Hataki hata niwasalimie
Au anatala nikitoa salam tuu then nikimbie nisibaki
Sasa hapo mpaka nipate ruhusa kutoka kwake
Nilikuwa nacheki hali ya hewa kama kuna kimbunga chochote.....:lol:

:juggle: mmmmmmhhhhhh
😛hoto: Nazihifadhi kwa ajili ya ukumbusho

AD umeona eehhh
Mpaka naogopa kuongeza neno hapo
:tea:ngoja nikapate hiyo
Hakikisha huku unasoma sheria na kanuni:A S-coffee:

Hii taarifa ni mbaya kuliko maelezo..

Tumepoteza fedha
Tumempoteza klorokwin
Tumepoteza pombe..
duuuuuhhhhhhhh

Mpe Nick kazi ya kuandaa sherehe basi...:tongue:
Ni sawa na kuendelea kuwaamini CCM waongoze hii nchi

AD huyo jamaa (TF) hatoniamini kamwe bora uchague mwingine

Kama Magamba
usimsikilize sana , atakuingia akilini...
( ukimaliza kusoma hii chana karatasi tafuna mwalimu asione):spy:
Ngoja nichukue miwani mikubwa kabisa:glasses-nerdy:

Kumbe na wewe unamjua eeehh
jamaa ana wivu balaa
Mpaka kwenye birthday ya watu anataka aharibu
Nahakikisha ulinzi na usalama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom