Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,542
- 7,380
Hahaha!!! Lizzy usiku kucha ulishinda kaunta ya juu naona ndio unaamka hata umesahau:lol::eyebrows:
Nina hamu kwelli ya kuiona hiyo kaunta ya juu, manake inapigiwa promo mbaya, hambanduki huko lol