Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

mmpelekee Preta hii ....

0041.gif
si dhani kama mtarudi kazini baada ya hii lakini.. 🙂

mmmmh....yaaay.....

Duh BDay ya kufa mtu...Hongera bana!! Una miaka mingapi kuwa mama??

ohhhh
sante sana Sizinga

Kuna kadi naenda kununua, ungeikumbusha tangu jana ilikuwa ni kusubmit tu...sasa umenipa kazi ya kwenda dukani tena, so usijali nitakutumia punde kifurushi chaako!! na avatar naona umebadili...ama kweli umezaliwa upyaaaaaa!!Hongera once more!!

Naisubiri kwa hamu sana dear ..Haina
Haraka kabisa... Kuhusu miaka ntaku nong'oneza baaaaadaaaaaaaayeeeeee.. lol 😛oa
 
Heeeeeeey....is my calender incorrect???
Maana yangu inasema tar 24 bado...neway Happy Birthday Afro maana inawezekana mimi nikawa natumia ya mwaka 2009.
 
Heeeeeeey....is my calender incorrect???
Maana yangu inasema tar 24 bado...neway Happy Birthday Afro maana inawezekana mimi nikawa natumia ya mwaka 2009.

we unakesi ambayo ..
kwa kweli anza kusali tu .....
Na ya kwako ntafanya hivihivi
we ngoja tu teh teh teh teh teh lol
 
Heeeeeeey....is my calender incorrect???
Maana yangu inasema tar 24 bado...neway Happy Birthday Afro maana inawezekana mimi nikawa natumia ya mwaka 2009.
Hahaha!!! Lizzy usiku kucha ulishinda kaunta ya juu naona ndio unaamka hata umesahau:lol::eyebrows:
 
we unakesi ambayo ..
kwa kweli anza kusali tu .....
Na ya kwako ntafanya hivihivi
we ngoja tu teh teh teh teh teh lol

I know ..I know...
On my defence...sikua nimepanga muda mrefu wala sikutaka kukwambia kijuu juu.
I'm replacing my ''you know what'' on friday so nipe mpaka hiyo ijumaa then ntakua tayari kujitetea...na kupokea hukumu.

Kuhusu Bday I still don't get it....maelezo pleaaaaaase!
 
Happy birthday 'rafiki'. Nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio tele.
 
Hamna bana...yani I have been thinking about this for weeks and I was so shur it wasn't untill thursday!!
Must be something wrong with the info I received...ukisikia mjumbe kauwawa usishangae!!
We'll see that one Thursday kuamkia Friday:lol::eyebrows:
 
Hamna bana...yani I have been thinking about this for weeks and I was so shur it wasn't untill thursday!!
Must be something wrong with the info I received...ukisikia mjumbe kauwawa usishangae!!

Sina shaka kalenda yako Lizzy ni ya mchina....otherwise there r smthng wrong, labda Afro aatujuze hapa...!!
Bt ni kweli ulikuwa kaunta ya juu weekend? ukachanganya videsa??hahaa lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom