matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,368
Ni vizuri Kushtuana wakuu.
Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo.
Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
View attachment 1396967
View attachment 1396969
Ni vizuri Kushtuana wakuu.
Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo.
Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
Kwa hiyo bado tunawahitaji Mabeberu?watusaidie tu kwa maana vya kwetu vinapitisha wagonjwa pale KIA
mkuu beberu ndio kila kiu mkuu.Kwa hiyo bado tunawahitaji Mabeberu?
Alibaba ni mchina sio beberu wa magharibi.Kwa hiyo bado tunawahitaji Mabeberu?
HAWA NI WAHISANIKwa hiyo bado tunawahitaji Mabeberu?
Beberu ni beberu tu, awe ni wa kichina, kizungu, kiarabu wote ni beberu, na mbuzi jike hanabudi kubeba mimba za mabeberu.Alibaba ni mchina sio beberu wa magharibi.